Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kutengeneza nini?Niambie USA katengeneza ipi tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutengeneza nini?Niambie USA katengeneza ipi tena?
Ndio maana mwamba kusafiri kwenda kumuona mwamba mwenzake, media zote kubwa zimetoa mimacho kodoBila kupoteza muda. Tumsifu YESU KRISTU.
Leo nataka niongelee kuhusu uwezo wa Jeshi la North Korea. Kwanini hawa jamaa wanatisha sana? Na kwanini West wanaeneza propaganda nyingi sana ili tu waweze kuwapoteza? Kwanini Marekani anawekeza sana kwenye nchi za Japan na South Korea ili kupambana na hawa jamaa?
Kwanza kabisa historia inaanzia kipindi cha Cold war wakati West na East wakitafuta utukufu duniani. Kitendo kicho kilifanya Korea kugawanyika na kuwa katika sehemu mbili. Huku korea ya kusini ikipiga magoti kwa Western wakati Korea ya kaskazini ikijiimarisha na kulinda heshima yake.
NK iemeendelea kuimarisha jeshi lake tangu kipindi hicho kujua kwamba adui wao nambari moja ni Marekani. Huyu marekani amekuwa akitumia ushawishi wake huko UN na kuweka vikwazo rukuki NK. Akitegemea hawa jamaa watampigia magoti lakini wapi. Miaka inazidi kwenda tu.
Waziri wa Ulinzi wa Korean People's Army ni Comrade General Kang Sun-nam
Huku General Staff Department (GSD) Akiwa ni Comrade Vice Marshal Ri Yong-gil
IDADI YA WANAJESHI
NK Army linakadiliwa kuwa na Active Personnel 1,320,000 ombapo inaelezwa kuwa ni jeshi kubwa la nne duniani baada ya China, India na Marekani.
Jeshi hili limegawanyika katika kamadi tano:-
Nembo ya jeshi hili la korea ni
- KPA Ground Forces
- KPA Naval Forces
- KPA Air Force
- KPA Strategic Force
- KPA Special Operation Force
Usikae mbali na uzi huu nitakuletea hatu kwa hatua uwezo wa jeshi hili.....
Labda Sholo MwambaNdio maana mwamba kusafiri kwenda kumuona mwamba mwenzake, media zote kubwa zimetoa mimacho kodo
Ndio maana USA amelia sana kuona wababe wakiwekeana makubaliano ya ushirikiano kijeshi. Hapo bila kusahau mchina naye yumo🤣🤣🤣North Korean mobile tactical missile
View attachment 2752191
View attachment 2752193
Hapa ni kuwagonga vibaraka wa USA mpaka wakome
Huyo jamaa ni liccm lisilo na akili, achana nayeMzee shughulikia matatizo ya familia yako kwanza ndio uje ku comment JF. Unajiaibisha
Kwa mara ya kwanza naona umetumia akili yako 100%Nchi yeyote ambayo Ina uwezo wa Kutengeneza silaha yenyewe iogope sana.
Jionee huruma wewe na watoto wako.Binafsi, mtu yeyote anayeilinganisha Marekani kivita na nchi yoyote, say Korea Kaskazini namwonea huruma sana mtu huyo.
Wewe ni mwasilika wa move za komando kipensi🤣Binafsi, mtu yeyote anayeilinganisha Marekani kivita na nchi yoyote, say Korea Kaskazini namwonea huruma sana mtu huyo.
ProveWatu wanapenda kujifurahisha sn! Yaani hii US iiogope NOKO? Kwa kipi hasa US aiogope NOKO?
US haiogopi Russia ambae ndio Mwenye madude mengi ya nuclears kuliko NOKO na China na Iran alafu Leo mnakuja kupiga kelele hapa NOKO sijui mdudu Gani?!! Hebu acheni hizo bhana. Km mmeshiba na mnakuja hapa tupige story km za gahawa ni sawa tu. Lkn mkiwa mnataka tuongee Kwa fact basi mtaona US ndio baba wa hii Dunia ktk kila kitu.
Ukiongelea budget ya Jeshi hapa napingana na wewe, Russia budget yake ni $60B lakini anapigana na NATO na anawamudu, vita sio budget maana kama ni budget NATO wangekuwa NK, na Russia.
Wapinzani wao hawana?Nuke moja ya North Korea yenye uwezo wa 300kt inaweza kuteketeza New York City yote kwa sekunde tu
View attachment 2753153
hwasong-18 inaweza kubeba vichwa vya nuclear zaidi ya kimoja.
Tumia akili kama Marekani haogopi urusi mbona wanasita kuingia kwenye vita ya moja kwa moja na urusi?Watu wanapenda kujifurahisha sn! Yaani hii US iiogope NOKO? Kwa kipi hasa US aiogope NOKO?
US haiogopi Russia ambae ndio Mwenye madude mengi ya nuclears kuliko NOKO na China na Iran alafu Leo mnakuja kupiga kelele hapa NOKO sijui mdudu Gani?!! Hebu acheni hizo bhana. Km mmeshiba na mnakuja hapa tupige story km za gahawa ni sawa tu. Lkn mkiwa mnataka tuongee Kwa fact basi mtaona US ndio baba wa hii Dunia ktk kila kitu.