Lijue Jeshi la North Korea - Uwezo wake na Nguvu zake. Kwanini USA wanaliogopa?

Ndio maana mwamba kusafiri kwenda kumuona mwamba mwenzake, media zote kubwa zimetoa mimacho kodo
 
Binafsi, mtu yeyote anayeilinganisha Marekani kivita na nchi yoyote, say Korea Kaskazini namwonea huruma sana mtu huyo.
 
Watu wanapenda kujifurahisha sn! Yaani hii US iiogope NOKO? Kwa kipi hasa US aiogope NOKO?

US haiogopi Russia ambae ndio Mwenye madude mengi ya nuclears kuliko NOKO na China na Iran alafu Leo mnakuja kupiga kelele hapa NOKO sijui mdudu Gani?!! Hebu acheni hizo bhana. Km mmeshiba na mnakuja hapa tupige story km za gahawa ni sawa tu. Lkn mkiwa mnataka tuongee Kwa fact basi mtaona US ndio baba wa hii Dunia ktk kila kitu.
 
Prove
 
Ukiongelea budget ya Jeshi hapa napingana na wewe, Russia budget yake ni $60B lakini anapigana na NATO na anawamudu, vita sio budget maana kama ni budget NATO wangekuwa NK, na Russia.

Nuke moja ya North Korea yenye uwezo wa 300kt inaweza kuteketeza New York City yote kwa sekunde tu

View attachment 2753153

hwasong-18 inaweza kubeba vichwa vya nuclear zaidi ya kimoja.
Wapinzani wao hawana?
 
Tumia akili kama Marekani haogopi urusi mbona wanasita kuingia kwenye vita ya moja kwa moja na urusi?

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…