Hayamaliziki kizembe hivyo mkuuMimi ninachotaka walifyatue tu , sijui wanajishauri kitu gani ? Ningekua hapo iran kitengo cha kuyafyatua nisingetoa kidole kwenye kidude cha kuyafyatua mpaka mamapapai ya kizayuni niyamalize.
Mimi mkristo lakini haya mazayuni siyatetei hata kidogoSajil-2: Kombora hatari la Iran linalofika Israel kwa 'dakika 7'
Usomaji maandishi tu kupunguza gharama za data
Chanzo cha picha,Getty Images
Maelezo ya picha,Jaribio la kwanza la mafanikio la kombora hili lilifanyika mwaka 2008
Saa 1 iliyopita
Mzozo wa hivi karibuni wa kijeshi kati ya Israel na Iran umekuwa jaribio la uwezo wa mapigano wa nchi zote mbili, pamoja na silaha zao.
Wakati Iran ilipoishambulia tena Israel wiki moja na nusu iliyopita, ilidai kwa mara ya kwanza kwamba kombora la Sajil-2 la Iran lilitumika katika shambulio hilo. Hata hivyo, Israel inadai kuwa jeshi lake lilizuia shambulio la kombora la Sajil na kulinasua kwa mafanikio kwa msaada wa mfumo wa ulinzi.
Ingawa mapigano yamesimama kwa muda, kombora hili linaonekana kuwa sehemu muhimu ya nguvu ya Iran.
Walinda Mapinduzi wa Iran wamesema kuwa mashambulizi ya Jumatano ya wiki iliypita yalifanywa kama sehemu ya "Operesheni Ahadi ya Kweli 3." Taarifa iliyotolewa na Walinda Mapinduzi ilisema kwamba "operesheni ya 12 ya kulipiza kisasi ya Operesheni Ahadi ya Kweli 3 imezinduliwa kwa kombora zito sana la masafa marefu la Sajil la hatua mbili." Taarifa hiyo, ikielezea sifa za kombora hili, inadai kwamba Sajil ni mojawapo ya silaha zenye nguvu na sahihi zaidi za kimkakati za Iran, zenye uwezo wa kuharibu malengo muhimu ya adui.
Matangazo
Nguvu ya Kombora la Sajil
Chanzo cha picha,Getty Images
Maelezo ya picha,Kombora la Sajil lina urefu wa takriban mita 18 nalinalotumia mafuta, jambo linalolifanya kuwa hatari
Sajil ni kombora la balistiki la masafa ya kati lenye uwezo wa kufikia maeneo lengwa hadi kilomita 2,000. Kwa masafa haya, kombora hili linaweza kulenga Mashariki yote ya Kati, ikiwemo Israel, kusini mashariki mwa Ulaya, na sehemu za Asia ya Kati, likirushwa kutoka Iran. Ikiwa litarushwa kutoka mji wa Natanz nchini Iran, linaweza kufika jiji la Tel Aviv nchini Israel kwa dakika saba tu.
Mzee yakiisha wao watambonda Hadi abaki jivu. Alivyogundua hivyo akàanza kurusha KWA kubajetiMimi ninachotaka walifyatue tu , sijui wanajishauri kitu gani ? Ningekua hapo iran kitengo cha kuyafyatua nisingetoa kidole kwenye kidude cha kuyafyatua mpaka mamapapai ya kizayuni niyamalize.
Likiwa linaenda nchi nyingine linatumia sekunde ngapi?Sajil-2: Kombora hatari la Iran linalofika Israel kwa 'dakika 7'
Usomaji maandishi tu kupunguza gharama za data
Chanzo cha picha,Getty Images
Maelezo ya picha,Jaribio la kwanza la mafanikio la kombora hili lilifanyika mwaka 2008
Saa 1 iliyopita
Mzozo wa hivi karibuni wa kijeshi kati ya Israel na Iran umekuwa jaribio la uwezo wa mapigano wa nchi zote mbili, pamoja na silaha zao.
Wakati Iran ilipoishambulia tena Israel wiki moja na nusu iliyopita, ilidai kwa mara ya kwanza kwamba kombora la Sajil-2 la Iran lilitumika katika shambulio hilo. Hata hivyo, Israel inadai kuwa jeshi lake lilizuia shambulio la kombora la Sajil na kulinasua kwa mafanikio kwa msaada wa mfumo wa ulinzi.
Ingawa mapigano yamesimama kwa muda, kombora hili linaonekana kuwa sehemu muhimu ya nguvu ya Iran.
Walinda Mapinduzi wa Iran wamesema kuwa mashambulizi ya Jumatano ya wiki iliypita yalifanywa kama sehemu ya "Operesheni Ahadi ya Kweli 3." Taarifa iliyotolewa na Walinda Mapinduzi ilisema kwamba "operesheni ya 12 ya kulipiza kisasi ya Operesheni Ahadi ya Kweli 3 imezinduliwa kwa kombora zito sana la masafa marefu la Sajil la hatua mbili." Taarifa hiyo, ikielezea sifa za kombora hili, inadai kwamba Sajil ni mojawapo ya silaha zenye nguvu na sahihi zaidi za kimkakati za Iran, zenye uwezo wa kuharibu malengo muhimu ya adui.
Matangazo
Nguvu ya Kombora la Sajil
Chanzo cha picha,Getty Images
Maelezo ya picha,Kombora la Sajil lina urefu wa takriban mita 18 nalinalotumia mafuta, jambo linalolifanya kuwa hatari
Sajil ni kombora la balistiki la masafa ya kati lenye uwezo wa kufikia maeneo lengwa hadi kilomita 2,000. Kwa masafa haya, kombora hili linaweza kulenga Mashariki yote ya Kati, ikiwemo Israel, kusini mashariki mwa Ulaya, na sehemu za Asia ya Kati, likirushwa kutoka Iran. Ikiwa litarushwa kutoka mji wa Natanz nchini Iran, linaweza kufika jiji la Tel Aviv nchini Israel kwa dakika saba tu.
Kufa sio shida zetu bwashee mabikira 72 wanatusubiri na bik,,,n nyeupeMzee yakiisha wao watambonda Hadi abaki jivu. Alivyogundua hivyo akàanza kurusha KWA kubajeti
Ule moto walitakiwa wapelekewe nonstopHayamaliziki kizembe hivyo mkuu
Hii habari wameweka BBC mimi nimecopy tu mkuu wangu usinikasirikie... Wayahudi wenyewe wanalalamika wakiingia chooni ayatollaah akibonyeza batan hawapati hata muda wa kutawaza 😁Likiwa linaenda nchi nyingine linatumia sekunde ngapi?
NB; Ndiyo maana mnapigika kwa kuiwaza Israel tu.
Angebonyeza ili tuone.Aache ujingaujinga wa kuhifadhi ndevu kama mtu wa kale.Hii habari wameweka BBC mimi nimecopy tu mkuu wangu usinikasirikie... Wayahudi wenyewe wanalalamika wakiingia chooni ayatollaah akibonyeza batan hawapati hata muda wa kutawaza 😁
Kaka ndevu ndio ukidume mwenyewe😅Angebonyeza ili tuone.Aache ujingaujinga wa kuhifadhi ndevu kama mtu wa kale.
Hana hela ya kununulia dorco.Aache upuuzi wake.Nyuklia ataisikia kwenye bomba tu.The pipe dream!Kaka ndevu ndio ukidume mwenyewe😅
Unaota unatafuna tende.Israel ikiludia tena mchezo wake itapotezwa
Tatizo mnawachukulia iran kama magenge ya hamasHana hela ya kununulia dorco.Aache upuuzi wake.Nyuklia ataisikia kwenye bomba tu.The pipe dream!
Iran ni vibaka wachangamfu.Tatizo mnawachukulia iran kama magenge ya hamas