- Thread starter
- #41
Kuna bata mmoja humu ndani alisema netapusy ataongezwa kwenye biblia nikacheka sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣😁😁
Wayahudi wa bonyokwa wamekimbia humu ndani
Nacheka sana Kwa kweli
Kuna bata mmoja humu ndani alisema netapusy ataongezwa kwenye biblia nikacheka sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣😁😁
Wayahudi wa bonyokwa wamekimbia humu ndani
Nacheka sana Kwa kweli
Kivipi?Au unaota?Ila for sure tukiongea ukweli Israel wame watia aibu sana ,
Hatukuwahi kujua kuwa Israel ni dhaifu kiasi hiki wamechezea mkong'oto mzito Kwa kweli
Kama Israel ilikuwa haichapiki Kwanini wadhibiti Utoaji wa taarifa Kwa vyombo vya habari what they was try to hide !? Aibu sana Kwa kweli 🤣🤣Kivipi?Au unaota?
Kwa hiyo hilo tu ndiyo likakuhitimishia kwamba imeshindwa?Nasita kuandika kuna "ploblem" sehemu ya mutwe yako mkuuKama Israel ilikuwa haichapiki Kwanini wadhibiti Utoaji wa taarifa Kwa vyombo vya habari what they was try to hide !? Aibu sana Kwa kweli 🤣🤣
Jadili hoja for fact --- kama nyinyi ndio mnaotoa kichapo Kwa adui why mminye uhuru wa vyombo vya habari wote Kwa pamoja tumejionea Israel ambayo tulikuwa tuki aminishwa kuwa ni untouchable inechezea mkong'oto heavy mpaka shughuli za kijamii zikawa zimesimama nchi nzima bad enough baadhi ya mikoa yake imeguezwa kuwa ghost city !?? How comes nchi ambayo ni untouchable Leo hii inapigwa kama Ngoma ya wazaramo !?Kwa hiyo hilo tu ndiyo likakuhitimishia kwamba imeshindwa?Nasita kuandika kuna "ploblem" sehemu ya mutwe yako mkuu
😁😁 My footKuna bata mmoja humu ndani alisema netapusy ataongezwa kwenye biblia nikacheka sana 🤣🤣🤣
Vita Ina mbinu nyingi.Sasa ukikomaza shingo kwa hilo tu,umekwama.Jadili hoja for fact --- kama nyinyi ndio mnaotoa kichapo Kwa adui why mminye uhuru wa vyombo vya habari wote Kwa pamoja tumejionea Israel ambayo tulikuwa tuki aminishwa kuwa ni untouchable inechezea mkong'oto heavy mpaka shughuli za kijamii zikawa zimesimama nchi nzima bad enough baadhi ya mikoa yake imeguezwa kuwa ghost city !?? How comes nchi ambayo ni untouchable Leo hii inapigwa kama Ngoma ya wazaramo !?
😁😁 Kwanza nicheke mkuu mmepigika be honest, Kumbe Israel ni Simba wa kuchora tu Iran wametuonyesha Hilo !!!Vita Ina mbinu nyingi.Sasa ukikomaza shingo kwa hilo tu,umekwama.
Wewe chukulia hivyohivyo ila Ayatollah Khamenei anatetemeka kwa hofu.😁😁 Kwanza nicheke mkuu mmepigika be honest, Kumbe Israel ni Simba wa kuchora tu Iran wametuonyesha Hilo !!!
Umewaza kama mimiSijui watatusaidiaje walitume lije tz litue pale dodoma kwenye lile kusanyiko la wala posho za makalio!
Jingine la pili walitume kwenda hapo hapo dodoma kwenye kusanyiko la uchaguzi hewa wa mboga mboga!
There you are, what are they trying to hide?Kama Israel ilikuwa haichapiki Kwanini wadhibiti Utoaji wa taarifa Kwa vyombo vya habari what they was try to hide !? Aibu sana Kwa kweli 🤣🤣
😁😁 Imgine !!!There you are, what are they trying to hide?
Wewe wasema !!!Wewe chukulia hivyohivyo ila Ayatollah Khamenei anatetemeka kwa hofu.
Well said mkuu, ebu jaribu kumuelimisha MK254 labda kuna kitu atajifunza - nimesema may be, maanake yeye ujiona na Muyahudi mweusi!! Tangu shoga yake apate mkongoto wenye uhakika siku hizi anasikika mara chache chache kwa kujiiba iba tu!!Jadili hoja for fact --- kama nyinyi ndio mnaotoa kichapo Kwa adui why mminye uhuru wa vyombo vya habari wote Kwa pamoja tumejionea Israel ambayo tulikuwa tuki aminishwa kuwa ni untouchable inechezea mkong'oto heavy mpaka shughuli za kijamii zikawa zimesimama nchi nzima bad enough baadhi ya mikoa yake imeguezwa kuwa ghost city !?? How comes nchi ambayo ni untouchable Leo hii inapigwa kama Ngoma ya wazaramo !?
Sasa useme wewe mkristo kwa hao unadhan wanahusika na ukristo? Hao wanamtambua NABII Musa tu ndio wa mwisho hawamuamin Yesu au ISSA kama ninyi mulivyokua hamumtambui Muhammad na ndio maana wakapanga kumuua Yesu ni hao wayahudiMimi mkristo lakini haya mazayuni siyatetei hata kidogo
Maelezo mengii.....Sasa useme wewe mkristo kwa hao unadhan wanahusika na ukristo? Hao wanamtambua NABII Musa tu ndio wa mwisho hawamuamin Yesu au ISSA kama ninyi mulivyokua hamumtambui Muhammad na ndio maana wakapanga kumuua Yesu ni hao wayahudi
Huyo tunamjua humu tangu kitambo ni mfia Israel hawezi kuelewa ameamua kujipofusha akili Kwa makusudi kwaajili ya kulinda hisia zakeWell said mkuu, ebu jaribu kumuelimisha MK254 labda kuna kitu atajifunza - nimesema may be, maanake yeye ujiona na Muyahudi mweusi!! Tangu shoga yake apate mkongoto wenye uhakika siku hizi anasikika mara chache chache kwa kujiiba iba tu!!