Lijue kombora la Iran linalofika Israel kwa dakika 7 tu

Israel ni sawa na mkoa wa Tabora, inaingia mara 23 kwa nchi ya Iran

Lakini pia Israel anaingia mara 100 zaidi katika mataifa ya kiarabu yanayomzunguka na yeye ndio anaya control, akisema tulieni, inakuwa hivyo 😁😁😁
 
Mimi ninachotaka walifyatue tu , sijui wanajishauri kitu gani ? Ningekua hapo iran kitengo cha kuyafyatua nisingetoa kidole kwenye kidude cha kuyafyatua mpaka mapapai ya kizayuni niyamalize.
Mna hasira si mnadai mmeshinda vita?
 
Angebonyeza ili tuone.Aache ujingaujinga wa kuhifadhi ndevu kama mtu wa kale.
Kwani unadhani ni bomu lipi lililosasambua lile handaki la kijeshi pale jirani na hospital ya soroka?

Iran ilitumia hili bomu kulipua handaki hilo bahati mbaya upepo wa lile bomu ukasababisha uharibifu kwenye majengo ya jirani ikiwemo hospital ya soroka... Wayahudi wakaanza kulalamika Iran inashambulia hospital πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Kombora lenye jina la Hajji Kassim la Iran pia ni moto wa kuotea mbali
 
Israel ni sawa na mkoa wa Tabora, inaingia mara 23 kwa nchi ya Iran

Lakini pia Israel anaingia mara 100 zaidi katika mataifa ya kiarabu yanayomzunguka na yeye ndio anaya control, akisema tulieni, inakuwa hivyo 😁😁😁
Unajua ukubwa wa mkoa wa Tabora wewe au umejiandikia tu. Ukiziunganisha nchi za Burundi na Rwanda kwa pamoja hazifiki ukubwa wa mkoa wa Tabora. Sasa kaangalie kati ya Burundi na Israel ni nchi gani kubwa.
 
halafu lenyewe lemetengenezewa reli. yaani kama treni.
hahahahahahahahahahahaha....
binadamu ni kiumbe hatari sana.
Ni heshima yake kutokana na uzito wake... Lilitua juu ya handaki la wanamgambo wa Israel likasambaratisha kila kitu. Majengo ya karibu yakaharibika
 
Hii habari wameweka BBC mimi nimecopy tu mkuu wangu usinikasirikie... Wayahudi wenyewe wanalalamika wakiingia chooni ayatollaah akibonyeza batan hawapati hata muda wa kutawaza 😁
🀣🀣
 
🀣🀣🀣😁😁

Wayahudi wa bonyokwa wamekimbia humu ndani

Nacheka sana Kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…