Likizo kwa wanafunzi iwe ni lazima

Katika huu ulimwengu wa ushindani/kibepari, mwanao akija kuwa mlinzi wa geti la shule usilaumu watu, bali ni uzembe wako; sasa hivi watu wanafikiria kuamia mwezini, we bado unawaza uwe karibu na mtoto ili mchome mahindi ya kuchoma?
Kinachotakiwa kwa sasa ni mfumo wa elimu uboreshwe, ili mtu anapohitimu awe na ujuzi tayari wa kujiajiri n.k​
 
Ñmeona Dr.Lyabwene Mtahabwa,kashasaini marufuku hiyo tayari.Walimu wakapumzike sasa na wao.
 
Kwanza Elimu gani au somo gani la muhimu mnafundisha huko shuleni

Tafteni Kazi au Biashara ya ku-raise income zenu waacheni watoto wapumzike shule zenyewe chafu madarasa machafu then hamtaki watoto wapumzike #kid
 
hahah we mwalimu acha nongwa na wivu, mimi sio mwalimu haitakaa itokee na sijasoma kwenye shule zenu za kiswaenglish wazazi wangu walijitambua mapema na sasa napiga pesa bila kutoka jasho sio wewe ulielamba chaki miaka 40 ili uje kupata mafao ya milioni 70 alafu hiyo milioni 70 ukaishia kutapeliwa 🤣🤣,na kwa taarifa yako wanafunzi wa shule za serikali hakuna hata mmoja alie baki shuleni .
 
Huyo mwalimu ambaye hamalizi syllabus kisa likizo ni mzembe,hafai kuwa mwalimu,kuna syllabus ambayo imeandaliwa kwa kuzingatia likizo na matukio yote ya kitaifa,
 
yes ndiyo kinachotakiwa kwa mfumo huu wa elimu hata mtoto akibaki shule au nyumbani haiwezi kumsaidia kitu, pia kwa taarifa nilizo nazo watoto wanaobaki shule ni wa shule za private tuu, shule za serikali wamepiga marufuku wanafunzi kubaki shule. sasa wanaolalamika ni wale walio peleka wanafunzi wao private school sasa sijui wanataka nini 😂
 
Huna utajiri wowote wewe boya tu mbele yangu,sasa hata kama wewe ni tajiri unadhani wote unataka tuwe kwenye nafasi yako !? Hakuna mwalimu bila mwanafunzi ,hakuna tajiri bila ya uwepo wa masikini.


Tajiri gani wewe uje ulie lie mtoto kufundisha wakati wa likizo badala ya kumtafutia twisheni au private tizachi wamfundishe mwanao nyumban!?
 
Binafsi naamini kupumzika ni baada ya kufa tu! Vinginevyo maisha ni mapambano yasiyo na kupumzika Kama unavyofikiri wewe!
Mpaka hapa sina sababu yeyote ya kuendelea kukujibu. Ni dhahiri tuna fikra na mitazamo tofauti.

Uwe na siku njema.
 
Kwa mfumo uliopo unamtambua yule aliyefaulu, haijalishi amepata ujuzi au la; kwa hiyo wengi wanapambana ili wafaulu. Hofu ni kwamba, darasa la mitihani likiwa mbali na eneo la shule kwa muda mrefu, linaweza kuathiri mudi ya mwanafunzi katika mtihani.
Ndio maana shule zinawashikilia hao watoto; lakini mwisho wa siku katika hao watoto watatakiwa wagawanyike huko mbeleni, watawala na watawaliwa; kwa hiyo ni wewe mzazi uchague unataka lipi.​
 
Asante sana. Umemaliza chief. At least umesema ukweli maana wengi wa walimu hapa wanaongea upumbavu wa kujifanya wana moyo wa kujitolea sana kwa watoto wa wengine when in reality ni njaa zao tu.

Shule kama Olympio na Diamond wanapeleka watoto shule mpaka jumapili na hii ni kuanzia saa 1 mpaka saa 10 jioni kwa siku za weekend. Siku za wiki watoto wanatoka saa 1 usiku, ukiuliza nini cha mno kinafundishwa hupati jibu la maana.

Serikali ina haja ya kuwa serious na huu upuuzi wa njaa za wengine kuumiza watoto wa wenzao.
 
Huyo mwalimu ambaye hamalizi syllabus kisa likizo ni mzembe,hafai kuwa mwalimu,kuna syllabus ambayo imeandaliwa kwa kuzingatia likizo na matukio yote ya kitaifa,
Inategemea na" uzembe " hakuna hata shuke moja ya serikali ambayo mwalimu hakumaliza syllabus, in fact shuke za serikali ndio wamepiga marufuku mwanafunzi kubaki shuleni , inajulikana serekalini ni buruta twende no one cares !
Shule binafsi kwa miaka ya karibuni ndio zimekuwa trend setters, linapokuja swala la ufaulu, hilo la muda kutowatosha kumaliza syllabus ni dalili kuwa kuna tatizo kwenye mitaala
 
Kwanza Elimu gani au somo gani la muhimu mnafundisha huko shuleni

Tafteni Kazi au Biashara ya ku-raise income zenu waacheni watoto wapumzike shule zenyewe chafu madarasa machafu then hamtaki watoto wapumzike #kid
Ujinga mtupu. Ukienda huko shule kipindi cha likizo walimu wanapiga soga tu na watoto wanaambiwa wafanye revision. Kwa upande wao pesa ishaingia wanaotaaboika ni watoto wetu.
 
Niko sehemu karibu na shule naona lecture zinaendelea kama kawa. Miaka yote ni hivi hivi viongozi wanapiga beat la mdomo ngoma inaendelea
 
Wewe kma ni mwalimu basi kunashida kwa kichwa yako,huwezi linganisha ufaulu wa private na government schools, kuna factor nyingi sana,huku sisi serikalini tunabeba kila mtoto ,no matter how,pili mazingira,huku sisi day schools mtoto akitoka shule anaenda kuchunga ngombe,wakati private school 99 asilimia ni boarding,tatu mtoto shule zetu za kata anashindia mlo mmoja,sasa utapate matokeo sasa wewe.?

Harafu unasema hakuna mwalimu serikalini amemaliza syllabus, nani kasema syllabus inaisha mwezi wa sita? Coverage ya silabus inakamikika mwezi wa 12
 
Tatizo linaanza pale Mwanao akipata zero ,atashindwa kupokelewa hata VETA , yaani wewe Mwanao mpambanie atoboe maana siku za likizo wanafunzi hupata Muda mzuri wa kusoma kwa utulivu kile kipindi Cha likizo.



Mkenda watoto wake Wote wapo Sehemu nzuri Sana yaani hiki kizazi Cha singeli ukitaka waziri ndo akufanyie maamuzi Basi utakwama Sana.
 
Ifahamike kuwa walimu hawapendi kufanya kazi wakati wa likizo lakini viongozi wao huwashurutisha kwa vitisho vikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…