Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Katika huu ulimwengu wa ushindani/kibepari, mwanao akija kuwa mlinzi wa geti la shule usilaumu watu, bali ni uzembe wako; sasa hivi watu wanafikiria kuamia mwezini, we bado unawaza uwe karibu na mtoto ili mchome mahindi ya kuchoma?
Kinachotakiwa kwa sasa ni mfumo wa elimu uboreshwe, ili mtu anapohitimu awe na ujuzi tayari wa kujiajiri n.k
Kinachotakiwa kwa sasa ni mfumo wa elimu uboreshwe, ili mtu anapohitimu awe na ujuzi tayari wa kujiajiri n.k