Likizo kwa wanafunzi iwe ni lazima

Likizo kwa wanafunzi iwe ni lazima

Tatizo linaanza pale Mwanao akipata zero ,atashindwa kupokelewa hata VETA , yaani wewe Mwanao mpambanie atoboe maana siku za likizo wanafunzi hupata Muda mzuri wa kusoma kwa utulivu kile kipindi Cha likizo.

Mkenda watoto wake Wote wapo Sehemu nzuri Sana yaani hiki kizazi Cha singeli ukitaka waziri ndo akufanyie maamuzi Basi utakwama Sana.
Wazo lao ni zuri sana lakini lingekuwa zuri zaidi kama wangetuboreshea mazingira kwanza ili na sisi kina kabwela watoto wapate elimu bora kama viongozi wetu huko juu ambao licha ya kukataza tuition huwezi amini watoto wao wanafuatwa na walimu majumbani kwao kufundishwa!

Hata walimu wanahitaji kupumzika pia kama wanafunzi lakini watuboreshee mazingira!
 
Mimi nimefundisha shule za serikali , lakini sikusoma hizo shule , niseme tu Agizo la Mh Waziri ni siasa.... Tupu na leo nilikuwa nanunua maandazi hapa uswahilini nimeshangaa kuona wazazi wanafurahia hili tamko la kisiasa .

Shule za serikali ili Mwanao afanye vizuri muache Wakati wa likizo aendelee kusoma maana shuleni kunakuaga na utulivu Mkubwa wa kifikra na ufahamu na. Idadi ya Wanafunzi inakua ni ndogo.
 
Nashanga lile agizo limetenguliwa ... La watoto kutobaki shuleni waende likizo. Sijui ni Nani yuko nyuma ya hiki...
 
Wewe kma ni mwalimu basi kunashida kwa kichwa yako,huwezi linganisha ufaulu wa private na government schools, kuna factor nyingi sana,huku sisi serikalini tunabeba kila mtoto ,no matter how,pili mazingira,huku sisi day schools mtoto akitoka shule anaenda kuchunga ngombe,wakati private school 99 asilimia ni boarding,tatu mtoto shule zetu za kata anashindia mlo mmoja,sasa utapate matokeo sasa wewe.?

Harafu unasema hakuna mwalimu serikalini amemaliza syllabus, nani kasema syllabus inaisha mwezi wa sita? Coverage ya silabus inakamikika mwezi wa 12
Walimu shule za serikali inajulikana hawajali mtoto wa mtu. Amalize sylabus au asimalize no one cares!
 
Mimi nimefundisha shule za serikali , lakini sikusoma hizo shule , niseme tu Agizo la Mh Waziri ni siasa.... Tupu na leo nilikuwa nanunua maandazi hapa uswahilini nimeshangaa kuona wazazi wanafurahia hili tamko la kisiasa .

Shule za serikali ili Mwanao afanye vizuri muache Wakati wa likizo aendelee kusoma maana shuleni kunakuaga na utulivu Mkubwa wa kifikra na ufahamu na. Idadi ya Wanafunzi inakua ni ndogo.
Mwalimu mie nadhani suluhisho ni kuwa na specialization toka umri wa awali kabisa wa mwanafunzi!
Mtoto wa primary ana masomo zaidi ya nane hii leo, halafu akifika advance ndo anapata option ya kuchagua matatu!! Kwa nini asiwe na masomo hayo matatu toka awali ili amalize sylabus mapema?
 
Kuna katoto Cha kidato Cha 4 namsubiri kwa shauku kubwa, nikafundishe biology ya pre form five. SoMo la uzalishaji. 😁😄
 
Huna utajiri wowote wewe boya tu mbele yangu,sasa hata kama wewe ni tajiri unadhani wote unataka tuwe kwenye nafasi yako !? Hakuna mwalimu bila mwanafunzi ,hakuna tajiri bila ya uwepo wa masikini.

Tajiri gani wewe uje ulie lie mtoto kufundisha wakati wa likizo badala ya kumtafutia twisheni au private tizachi wamfundishe mwanao nyumban!?
wapi umeona nimelalamika mtoto wangu kubaki shule wakati wa likizo.? au nilikuwa namwambia mtoa mada kuwa hicho anachokitaka hakiwezi kumsaidia kitu labda angeomba mfumo mzima wa elimu ubadilishwe. usipopambana na mtoto wako hakuna waziri au mbunge wa kuamua future ya mtoto wako ndo maana watoto wao utawakuta international school wakipambania future zao waje kulamba asali kama baba zao sasa wewe maskini endelea kuwalilia badala ya kupambana na mtoto wako ukitaka awe mcheza mpira , mfanya biashara mkubwa,msomi wa maana lazima upambane kuanzia chini sio kulilia walamba asali wafanye maamuzi juu ya kizazi chako.kuzaliwa maskini sio tatizo ila kufa maskini ni tatizo.Ni sawa na mwanamke anaechezea kichapo kila siku kutoka kwa mume wake anaomba serikali ije kumsaidia sasa hizo ni akili au matope.
 
Back
Top Bottom