Chariton003
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 333
- 905
Wazo lao ni zuri sana lakini lingekuwa zuri zaidi kama wangetuboreshea mazingira kwanza ili na sisi kina kabwela watoto wapate elimu bora kama viongozi wetu huko juu ambao licha ya kukataza tuition huwezi amini watoto wao wanafuatwa na walimu majumbani kwao kufundishwa!Tatizo linaanza pale Mwanao akipata zero ,atashindwa kupokelewa hata VETA , yaani wewe Mwanao mpambanie atoboe maana siku za likizo wanafunzi hupata Muda mzuri wa kusoma kwa utulivu kile kipindi Cha likizo.
Mkenda watoto wake Wote wapo Sehemu nzuri Sana yaani hiki kizazi Cha singeli ukitaka waziri ndo akufanyie maamuzi Basi utakwama Sana.
Hata walimu wanahitaji kupumzika pia kama wanafunzi lakini watuboreshee mazingira!