Breki ya Kenge
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 715
- 1,004
Mkuu nimekupa "like"...umeandika kwa kifupi sana na ndio ukweli wenyeweUkiondoa ubabe na sometimes UKATILI wake uliopitiliza.
Ila jamaa alkua Ni bonge la mzalendo.
Kiukweli,
Aliipenda sana Tanzania kuliko alivyoipenda nafsi yake mwenyewe.
Wajenge hata ghorofa 1000 kwenda Juu, hukumu mbele ya Mungu ni hiyo hiyo!
makalio yako mazuri tunayasifia, basi tumemalizasema kuna watu wanaumia sana kuona JPM anasifiwa, sijui walitaka watu wasifie makalio yao!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bonge moja la jibu *****.Hadi leo wayahudi hawaamini Yesu ni mwana wa Mungu..so nakuelewa
Naona kisu kimegusa mfupa,tulia dawa iingieAcha kumfananisha yesu na vitu vya ajabu ajabu!!!
View attachment 1973019
Naona kisu kimegusa mfupa,tulia dawa iingie
Duh!!! Utadhani alikuwa mtakatifu fulani hivi kumbe dhalimu mkubwa sana aliyeharibu maisha ya mamilioni ya Watanzania.
Angalia lipumbavu hili...mlitaka kuibia wanyonge tu kila siku? Shenzi type mkome nyang'auDuh!!! Utadhani alikuwa mtakatifu fulani hivi kumbe dhalimu mkubwa sana aliyeharibu maisha ya mamilioni ya Watanzania.
AMENWatanzania tunampenda sana Mama Samia kwa kufanya hii kazi ya kujengea Kaburi la Dkt Magufuli. Mungu ampe maisha marefu.
Niwe na wivu kuhusu kipi? Mauaji yake au wizi? Peleka ujinga wako lumumba.
Wewe ndio mpumbavu unapambana na mtu aliyepumzika.
Alivyokuwa muuaji alijiona dunia ni yake hatakufa.SAFI SANA KWA HESHIMA YA MENGI ALIYOTUFANYIA NA MUNGU AMPUMZISHE MAHALI PEMA
Mwizi, Fisadi, muongo, mzinzi na pia muuaji wa Watanzania wengi tu ambao hawakuwa ná hatia yoyote ile pia kawapora Watanzania wengi sana pesa zao. Hana zuri lolote yule dhalimu. Unadhani kwanini mkewe alikataa kumfanyia Kampeni ya Urais 2015 hadi alipobembelezwa na Mkapa na Mama Maria!?
Alivyokuwa muuaji alijiona dunia ni yake hatakufa.
Mungu fundi sana asante Mungu kwa kumuondoa huyo muuaji maana alijiona hakuna wa kumgusa kwasababu ya mabunduki lkn walishindwa na akafa.
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Mmh unatumia nguvu nyingiii embu kunywa maji bs kidogo upumue[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38]
Hizi takwimu umezipata wapi wewe baradhuri? Umeshindwa kutuambia idadi ya wananchi walioathiriwa na gaidi Mbowe Leo hii unajifanya mtaalamu wa athari za JPM!!!Duh!!! Utadhani alikuwa mtakatifu fulani hivi kumbe dhalimu mkubwa sana aliyeharibu maisha ya mamilioni ya Watanzania.