Lile kundi la Yanga timu zote chalii Yanga, Tp Mazembe, Mc Alger na Al hilal

Nafasi ya Nne kufanya nini wewe jiandae kukandwa na Stellenbosch umekazania nafasi ya 4 wakati mbele kuna kichapo hakuna cha Mukwala Mkwala wala Mukwena wote kichapo tu Auha chali
Wacha wafungwe ufurahi!
 
Unapiga sana spana. Kama idara ya maji? 😀😀😀
 
duh👿 ukweli unauma!
 
Hii ni milio ya mwanzo tu bado hamjalia. Kila tundu lililopo kwenye tundu la Amfibia litatoa mlio (ushuzi) unaoambatana na harufu mbaya.

Pole Sana Amfibia.View attachment 3301565
Pambaf.. unakimbia hoja kwa pumba zako mwenyewe. Wewe huko kimataifa umefanya makubwa gani kiasi umseme Yanga anafeli? Ukijibu hapo bila porojo nitakuona we kichwa kweli otherwise we ni bulicheka tu
 
Kudi la simba hakuna timu hata moja iliofanikiwa kufuzu hata group stage ya CAF champions league
 
Hueleweki!
Kipi ambacho haujaelewa? CAF confederation ni mashindano ya hadhi ya chini kwa CAF champions league, yaani anaeshiriki confederation maana yake uwezo wake haukuruhusu kwenda champions league.

Kuna timu ambazo zimetoka group stage katika champions league lakini zikienda kushiriki confederation zinaweza kuchukua kombe bila kupata upinzani mkubwa mfano yanga, tp mazembe, raja casablanca, belouzdad
 
Yanga kwani anashiriki!
 
Unajisifia kufungwa fainali??
Kama robo fainali kuna timu inajisifu, je ajabu nini mtu kujisifia kufungwa fainali?
Sifa kuu ni kufika fainali hajalishi matokeo yapoje. Kama kufungwa fainali haipaswi kujisifia basi kwanzia leo tusione watu wakiona mafanikio kucheza robo fainali wala nusu fainali bali iwe kombe.
 
Kufika fainali na kufungwa sio sifa ndio maana nilishangaa Yanga kushangilia kufungwa fainali wakati timu nyingne zote huwa tunaona wanalia kabisa kufungwa kwenye hiyo hatua
 
Yanga kwani anashiriki!
Yanga hii iliyofanya sherehe kufungwa fainali na Usm Alger ndio unasema inaweza chukua kombe kirahisi?
Huyo mbabe wako aliyekufanya ufurahie kufungwa fainali kaishia robo wewe si ndio ulikuwa tunakuacha makundi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…