Wacha wafungwe ufurahi!Nafasi ya Nne kufanya nini wewe jiandae kukandwa na Stellenbosch umekazania nafasi ya 4 wakati mbele kuna kichapo hakuna cha Mukwala Mkwala wala Mukwena wote kichapo tu Auha chali
Na wewe utafurahi mkikandwaWacha wafungwe ufurahi!
Eeh naelekea south hivi sasa kuishuhudia vizuri!Na wewe utafurahi mkikandwa
Unapiga sana spana. Kama idara ya maji? 😀😀😀Hili kundi ndio lilikua na timu mbovu kupitiliza lakini hapa yanga ndio alikuwa mbovu kuliko wote alifungiwa hapa hapa kwao.....Tp mazembe out...Mc Alger out....yanga out na Al hilal ibenge ngungu yanga out...Hslafu bado wanasema ....rank zimetoka msije sema hamjapewa taarifa kila mmoja akague timu yake ipo nafasi ya ngapi andike hapa tufahamiane....
duh👿 ukweli unauma!Hili kundi ndio lilikua na timu mbovu kupitiliza lakini hapa yanga ndio alikuwa mbovu kuliko wote alifungiwa hapa hapa kwao.....Tp mazembe out...Mc Alger out....yanga out na Al hilal ibenge ngungu yanga out...Hslafu bado wanasema ....rank zimetoka msije sema hamjapewa taarifa kila mmoja akague timu yake ipo nafasi ya ngapi andike hapa tufahamiane....
Saana tu!duh👿 ukweli unauma!
Hawataki kuambiwa ukweli!Unapiga sana spana. Kama idara ya maji? 😀😀😀
Pambaf.. unakimbia hoja kwa pumba zako mwenyewe. Wewe huko kimataifa umefanya makubwa gani kiasi umseme Yanga anafeli? Ukijibu hapo bila porojo nitakuona we kichwa kweli otherwise we ni bulicheka tuHii ni milio ya mwanzo tu bado hamjalia. Kila tundu lililopo kwenye tundu la Amfibia litatoa mlio (ushuzi) unaoambatana na harufu mbaya.
Pole Sana Amfibia.View attachment 3301565
Hueleweki!Kudi la simba hakuna timu hata moja iliofanikiwa kufuzu hata group stage ya CAF champions league
Unajisifia kufungwa fainali??Ni kweli mkuu na sijui ilikuwaje msimu wa 2022/2023 GSM aliingilia kati hadi kwenye mashindano ya CAF ilimradi tu Yanga acheze fainali. Na akamuhonga Belouizdad ambaye ni bingwa wa Algeria ili afungwe magoli manne ili Yanga icheze robo fainali. View attachment 3301377
Mgonjwa huyo 😀Unajisifia kufungwa fainali??
Kipi ambacho haujaelewa? CAF confederation ni mashindano ya hadhi ya chini kwa CAF champions league, yaani anaeshiriki confederation maana yake uwezo wake haukuruhusu kwenda champions league.Hueleweki!
Yanga kwani anashiriki!Kipi ambacho haujaelewa? CAF confederation ni mashindano ya hadhi ya chini kwa CAF champions league, yaani anaeshiriki confederation maana yake uwezo wake haukuruhusu kwenda champions league.
Kuna timu ambazo zimetoka group stage katika champions league lakini zikienda kushiriki confederation zinaweza kuchukua kombe bila kupata upinzani mkubwa mfano yanga, tp mazembe, raja casablanca, belouzdad
Ahidi mbususu ikifika siku nikukuleKwa hio wewe na ule mtimu wenu mbovu mlioikimbia Yanga isiwakande mnafikiri mnafika wapi? Stellenbosch anawakanda hapo ndio mwisho wa pumzi shenzizenu
Kama robo fainali kuna timu inajisifu, je ajabu nini mtu kujisifia kufungwa fainali?Unajisifia kufungwa fainali??
Kufika fainali na kufungwa sio sifa ndio maana nilishangaa Yanga kushangilia kufungwa fainali wakati timu nyingne zote huwa tunaona wanalia kabisa kufungwa kwenye hiyo hatuaKama robo fainali kuna timu inajisifu, je ajabu nini mtu kujisifia kufungwa fainali?
Sifa kuu ni kufika fainali hajalishi matokeo yapoje. Kama kufungwa fainali haipaswi kujisifia basi kwanzia leo tusione watu wakiona mafanikio kucheza robo fainali wala nusu fainali bali iwe kombe.
Yanga hii iliyofanya sherehe kufungwa fainali na Usm Alger ndio unasema inaweza chukua kombe kirahisi?Yanga kwani anashiriki!
Kuna timu ikishiriki mashindano ya CAF lazima ibaki inadaiwa magoliMkuu umejibu kitaalamu sana... big up