Lililoitwa Sakata la Bandari: Pumba zimeanza kujitenga na Mchele

Kumuweka muwekezaji makini mwenye mifumo thabiti ya kukusanya mapato ni moja ya njia bora zaidi katika kutatua tatizo la upigaji bandarini kuliko kuhangaika kukamata na kufunga watu.

Siku zote jifunze kutumia akili na sio nguvu
 
Pole sana.
Ipo siku na wewe utaamka.
 
Wapumbavu wale eti wanataka mama Samia awajibu! Nimecheka sana, Rais awajibu wao?

Kuna watu wa ajabu sana duniani.
 
Umeanza kunifuatilia lini hapa JF? Au wewe ni mgeni?
Eeh Mimi mgeni, ila tunaomba kujua CV yako bwana mwashamba maana uneongea upuuzi, pili huna hoja tatu uneongea hisia,nne hujui unachoongea,tano umetuchelewesha mihangaikoni Lucas mwashambwa ,kujipendekeza waachie wanawake
 
Eeh Mimi mgeni, ila tunaomba kujua CV yako bwana mwashamba maana uneongea upuuzi, pili huna hoja tatu uneongea hisia,nne hujui unachoongea,tano umetuchelewesha mihangaikoni Lucas mwashambwa ,kujipendekeza waachie wanawake
Nakuhakikishia mimi siye huyo mtu na wala sijawahi kuwa mtu.
 
Wqapumbavu wale eti wanwlataka mama Samia awajibu. Nimecheka sana, Rais awajibu wao.

Kuna watu wa ajabu sana duniani.


Ni Rais wao, ni mama yao, ni kiongozi wao

Mbona wale wa kikokotoo aliwajibu?
 
Kikokotoo cha bandari?

Kama aliweza kuwajibu wa kikokotoo then hata hao anaweza kuwajibu

Yy ndio Kiongozi wao, ndie mama Yao, ndie Rais wao so wanahaki ya kutaka majibu kutoka kwake
 
Hujawahi hata kuwa na majibu ya maana kwenye maswali yote uliyowahi kuulizwa kuhusu hilo sakata, ajabu licha ya ujibga wako huo, bado unajiona unaweza kulizungumzia!.

#chawa
 
Polee sana. Najua ukweli unauma na haya sio maneno yangu. Ni maneno ya wahenga
Wahenga walikuwa na akili. Wakaweka na misemo yenye hekima kama hiyo. Bahati mbaya kwako, unashindwa kutumia hata misemo iliyowekwa.

Ukweli ni ule wa Mwambukusi, Madeleka, Dr. Slaa, Prof. Shivji, Mzee Butiku, TEC, Dr. Mshala, CHADEMA, na ukaungwa mkono na mamilioni ya Watanzania.

Walioumia ni ninyi makuwadi mliowakilishwa na Chongolo aliyezunguka nchi nzima akisomba watu kwaajili ya kwenda kumsikiliza lakini haikufaa kitu. Wakatumia polisi kuwakamata na kuwabamnbikia kesi za uhaina wasema ukweli, wakashindwa, na bado mnarusha rusha miguu kama unavyofanya. Lakini mwisho wa yote ukweli utasimama maana haushikamani na ulaghai.
 
Hujawahi hata kuwa na majibu ya maana kwenye maswali yote uliyowahi kuulizwa kuhusu hilo sakata, ajabu licha ya ujibga wako huo, bado unajiona unaweza kulizungumzia!.

#chawa
Polee sana.

Ukweli unauma. Wahenga walisema
 
Sasa kijana mbona unajidhalilisha. Kuna ukweli upi wa Bandari kuuzwa? Au niambie wewe hapa Bandari ipi imeuzwa? Imeuzwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…