Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #61
Kumuweka muwekezaji makini mwenye mifumo thabiti ya kukusanya mapato ni moja ya njia bora zaidi katika kutatua tatizo la upigaji bandarini kuliko kuhangaika kukamata na kufunga watu.Umesema kuna "watu walikuwa wananufaika na upigaji bandarini" Na, hao ndio hawataki kuona mwekezaji, anakuja, sasa swali langu kwako mkuu,
Hao, wapigaji, mbona hawakamatwi kama, wapo? Vyombo vyote vya uchunguzi kama police, takukuru, jwtz intelligence, TISS, vinaripoti kwa "mama" Na, vinaongozwa na makada wa ccm, sasa mbona havijawakamata hao "wapigaji"?
Kama wapigaji wapo, lakini mama na ccm yake wameshindwa kuwakamata, tukisema mama nchi imemshinda si tutakuwa sawa?
Viongozi waandamizi, wote wa TPA, ni makada wa, ccm na wanateuliwa na mama! Kama ni majizi basi ccm ndio majizi, yanayopiga bandarini,
Kwa jinsi unavyoelezea upigaji wa bandarini utafikiri bandari inaongozwa na chadema na mkurugenzi wake kateuliwa na Mbowe!
Kama kuna upigaji serikalini, unafanywa na ccm na wateuliwa na ccm! Bunge lote ni ccm, RC, DC, DASA, RAS, wote wameteuliwa na ccm! Idara zote nyeti zinaongozwa na wateuliwa wa, mama! Sasa kama ameteua majizi, tena raia bila kujua, ataweza, kweli kuwajua hao wawekezaji raia wa kigeni!?
Ccm choka mbaya, kwa, miaka 60,bandari inawashinda kuendesha.
Kilichpo bandarini, wapigaji wengi ni watumishi wa TPA, na makada wa ccm ngazi za kati, sasa hv, majizi, ya nchi hii, kikwete na samia, kinana, yameona fulsa,yakate mirija ya hawa juniors majizi, ili yaibe yenyewe.
Siku zote jifunze kutumia akili na sio nguvu