Lililoitwa Sakata la Bandari: Pumba zimeanza kujitenga na Mchele

Ushindi upi sasa maana hata mabadiliko ya sheria za Mali Asili imeshindikana kubadilisha au mnapanga kuwapaje? Au mmefanikiwa kwa lipi?
 

Attachments

  • IMG-20230906-WA0012.jpg
    84.8 KB · Views: 1
  • IMG-20230906-WA0011.jpg
    65.7 KB · Views: 1
Nashukuru sana wehu walizani nchi niyaimani yaopekeyao wametuibia sana wajitathini niviongozi wadini au walamaini?
 
Kama hawapingi uwekezaji TEC wangesema bandari tuendeshe sisi wenyewe wakati wanajua mitanzania ndo tunaifirisi bandari yetu?
Kwaio wagawiwe Waarabu. Na hiyo mitanzania Ni ya Serikali ya chama gani? Nani anamiteua kuisimamia bandari?

Usichojua,, Serikali imesalimu amri na juzi tenda zimetangazwa za kuendesha hayo magati, na miswada yote imeondolewa bungeni.

Huku unapayuka tu! Unapuyanga na njaa zako na akili za kushikiwa.
 
Unaponyamaza inasaidia kuficha ujinga!
Mleta mada sijui kama uliwahi kusoma mkataba wenyewe!
Na kama ulisoma ufahamu wako ni mdogo sana!
Kama kweli wewe ni mzalendo huwezi kutetea hii kitu hata mara moja!
 
acheni Trump atutukane tu Waafrika
Akili ndogo
 
Kwa ufupi tu
Nina Masters ya Sheria- Westminster University
Hayo makaratasi hayasumbui watu siku hizi mkuu. NYIE wengi na makaratasi yenu Ni watu mliofeli kuanzia kwenye maisha Hadi kiutendaji.

Wew una tofauti gani na Kusukuma na Kibajaji. NIONESHE tofauti. Nafuu Hata wenzako wako bungeni wanagawana keki ya taifa
 
Kama ukweli ni huu ilishindikana vp kwa maelezo hayo kuwekwa kwenye IGA? Na kwanini bunge linarekebisha baadhi ya vipengele kwenye mkataba wa DP kama wananchi walivhopendekeza? Na kama uwekezaji wa dp ni kuhusu sehemu ndogo tu ya bandari kwanini mkataba unahusu bandari zote nchini? Kwanini dp world watake kwamba serkali isimpe mshindani uwekezaji maeneo ya bandari zingine kama Tanga? Ukweli ni kinyume na ulivyoandika; serikali imesalimu amri na imebadilisha gia angani. Ni mkataba wa aibu sana huu!
 
Nimesoma chuo bora sana duniani ndo mana hata upeo wangu wa uelewa wa mambo huwezi kuufananisha na upeo wako wa hovyo.
Msomi bora toka chuo bora unajificha na ID feki humu jf.

MSOMI BORA UNAJIFICHA! KUWA SIRIAZ BASI. UNA TATIZO NA UNAHITAJI MSAADA.
 
Wewe ni chawa na utabaki kuwa chawa tu na koma kuihusisha KKKT katika huu upuuzi wenu
 
Kasome waraka vizuri
Walisema Iendeshwe Kwa ubia kati ya watanzania na hao wawekezaji wenyewe na sio do world kupewa control ya Kila kitu
Wapi DP World alipewa Control ya kila kitu?
 
Rudi shule kasome. Unajua DP World atakuwa sehemu ipi na tenda imetangazwq sehemu ipi?
 
Niliposimama na Tundu Lissu mbona hukudaigi niweke no ya simu?
Sa umtangazie LISSU no yako ya cm ili akuteue uwe mjumbe wa halmashauri kuu ya CDM ama? Huko CDM hakuna ulaji!! Wee stick around na CCM huko ndiko kuna madili!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…