DOKEZO Limeshafika ghorofa ya 13 na linaendelea, lakini nguzo kama njiti za kiberiti

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
kweli kabisa kazi zangu na deal sana na mainjinia kuna sehem site kama tatu hivi tumezivisit kumbe wamenunua jina mzee bongo nyosoo
Yeah, yale majina kwenye vibango kule Kariakoo mengi ni ya kununua, hasa wale Linza concrete design, huwa wanatumika sana kwenye vibango
 
Yeah, yale majina kwenye vibango kule Kariakoo mengi ni ya kununua, hasa wale Linza concrete design, huwa wanatumika sana kwenye vibango
Mkuu ni vigumu kwa Consulting firm kuuza bango.
Si kweli kuwa Linza Concrete Design wanauza bango,wauzaji wa bango wanaweza kuwa ni wakandarasi (sina hakika lakini).
 
Lipo mtaa gani hili jengo
 
Haya mambo hayafanywi kienyeji enyeji tu. Lazima mtu awe na permit na authorization kutoka kwa mamlaka husika; na engineer anakuwa ame approve michoro ya hilo jengo kuwa ujenzi huo ni salama. Kama hujui kitu unauliza ufahamishwe...

Mchana mwema!
Acha habari zako wewe.
Hivi yale yanayoanguka si yanakuwa prooved pia.
Muelewe jamaa concern yake.
 
Pia kwenye jengo kuna main beam (s) ambayo mara nyingi huwa katikati ya jengo na ndo muhimili wa jengo zima
 
Punguza wivu wewe
 
Pia kwenye jengo kuna main beam (s) ambayo mara nyingi huwa katikati ya jengo na ndo muhimili wa jengo zima
Beams sio mhimili,mhimili katika majengo marefu ni ngazi,lift shaft/kuta zege na nguzo.
 
Wasiwasi ndo akili
 
Beams sio mhimili,mhimili katika majengo marefu ni ngazi,lift shaft/kuta zege na nguzo.
Ishu sio beams, kuna main beam (nguzo kuu) hizi ndo huwa ni muhimili mzima wa jengo. Kama ww ni msomaji wa biblia Samson alifanya suecide kwa wafilisti kwa kuvunja nguzo kuu za jengo walimokusanyika wafilisti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…