Fursa Pesa
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 4,631
- 3,527
Exactly.Asante kwa ufanunuzi, ila kujiridhisha ni muhimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exactly.Asante kwa ufanunuzi, ila kujiridhisha ni muhimu
Yeah, yale majina kwenye vibango kule Kariakoo mengi ni ya kununua, hasa wale Linza concrete design, huwa wanatumika sana kwenye vibangokweli kabisa kazi zangu na deal sana na mainjinia kuna sehem site kama tatu hivi tumezivisit kumbe wamenunua jina mzee bongo nyosoo
Mkuu ni vigumu kwa Consulting firm kuuza bango.Yeah, yale majina kwenye vibango kule Kariakoo mengi ni ya kununua, hasa wale Linza concrete design, huwa wanatumika sana kwenye vibango
Picha hapo chini inajieleza, jengo lipo Kariakoo, limefika ghorofa kama 13 hivi na bado naona kuna nondo zimetokeza hapo juu kuashiria kwamba floor bado zinaendelea juu.
Sasa unaweza kuta michoro ya structural engineer imespecify mwisho ghorafa 10, lakini mwenye jengo anaamua tu kuongeza zaidi kwa tamaa ya pesa. Maana zile nguzo ni nyembamba sana na jengo lenyewe ni jembamba kama mlingoti.
Pia wanasema jengo moja hadi jingine inabidi paachwe nafasi walau ya kupumulia, sasa hilo jengo ni kama linataka kugusa hili lingine, kwa ukaribu huu, hata moja moto ukiwaka lazima la pili lishike moto.
Mamlaka zinazohusika zifanye ukaguzi ili lisije likaleta madhara na mwishowe tukapeperusha bendera nusu mlingoti.
View attachment 1193373
Acha habari zako wewe.Haya mambo hayafanywi kienyeji enyeji tu. Lazima mtu awe na permit na authorization kutoka kwa mamlaka husika; na engineer anakuwa ame approve michoro ya hilo jengo kuwa ujenzi huo ni salama. Kama hujui kitu unauliza ufahamishwe...
Mchana mwema!
Zile za ubuyu? Hapana, wanatumia zile nyeusi bhana..Halafu Kama wametumia zile kokoto nyeupe aisee👁👁👁👁
Ndio hapo sasaAcha habari zako wewe.
Hivi yale yanayoanguka si yanakuwa prooved pia.
Muelewe jamaa concern yake.
Pia kwenye jengo kuna main beam (s) ambayo mara nyingi huwa katikati ya jengo na ndo muhimili wa jengo zimaUnaweza ukawa na hoja lakini Strength haipimwi kwa unene Wa beam! ingefaa ukaweka structure ikoje ili tuichambue!
Note: Jengo linaweza kuwa na column/beam nyembamba lakini zikawa ni nyingi ili kufanya load distribution kuwa safe!.
Kwahiyo ipendeze sasa kuangalia structure kwanza kabla ya kulaumu
Pia kwenye jengo kuna main beam (s) ambayo mara nyingi huwa katikati ya jengo na ndo muhimili wa jengo zima
Punguza wivu wewePicha hapo chini inajieleza, jengo lipo Kariakoo, limefika ghorofa kama 13 hivi na bado naona kuna nondo zimetokeza hapo juu kuashiria kwamba floor bado zinaendelea juu.
Sasa unaweza kuta michoro ya structural engineer imespecify mwisho ghorafa 10, lakini mwenye jengo anaamua tu kuongeza zaidi kwa tamaa ya pesa. Maana zile nguzo ni nyembamba sana na jengo lenyewe ni jembamba kama mlingoti.
Pia wanasema jengo moja hadi jingine inabidi paachwe nafasi walau ya kupumulia, sasa hilo jengo ni kama linataka kugusa hili lingine, kwa ukaribu huu, hata moja moto ukiwaka lazima la pili lishike moto.
Mamlaka zinazohusika zifanye ukaguzi ili lisije likaleta madhara na mwishowe tukapeperusha bendera nusu mlingoti.
View attachment 1193373
Je kwa nje unaweza tambua ukubwa na distribution za main beam za ilo jengo?sio Kwa jengo Hilo linavyoonekana
Hayatajirudia kwa sababu walishatokea, watu wanachua tahadhari mkuuYameshatokea ndio maana watu wanaongea hatutaki yajirudie..
Sawa napunguza, ila kujiridhisha bado ni muhimuHayatajirudia kwa sababu walishatokea, watu wanachua tahadhari mkuu
Beams sio mhimili,mhimili katika majengo marefu ni ngazi,lift shaft/kuta zege na nguzo.Pia kwenye jengo kuna main beam (s) ambayo mara nyingi huwa katikati ya jengo na ndo muhimili wa jengo zima
Wasiwasi ndo akiliUnaweza ukawa na hoja lakini Strength haipimwi kwa unene Wa beam! ingefaa ukaweka structure ikoje ili tuichambue!
Note: Jengo linaweza kuwa na column/beam nyembamba lakini zikawa ni nyingi ili kufanya load distribution kuwa safe!.
Kwahiyo ipendeze sasa kuangalia structure kwanza kabla ya kulaumu
Kitaalam tunaita 'Core' , ndio uti wa mgongo wa jengo refuBeams sio mhimili,mhimili katika majengo marefu ni ngazi,lift shaft/kuta zege na nguzo.
Ishu sio beams, kuna main beam (nguzo kuu) hizi ndo huwa ni muhimili mzima wa jengo. Kama ww ni msomaji wa biblia Samson alifanya suecide kwa wafilisti kwa kuvunja nguzo kuu za jengo walimokusanyika wafilisti.Beams sio mhimili,mhimili katika majengo marefu ni ngazi,lift shaft/kuta zege na nguzo.