Mwafrikamtanzania
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 387
- 421
'Religion is an opium of the people'- Karl Marx
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini dola pia ni sisi.Kumpigania Mungu ni sisi dhidi ya sisi, kupigania haki zetu ni sisi dhidi ya dola. Dola yenye jela, polisi, magari ya washawasha, secret detention areas n.k. Lazima uwe makini inapoelekeza vita yako.
Yeah Sure.'Religion is an opium of the people'- Karl Marx
Dini ni scam, dini ni Ukoloni, Dini ni UzwazwaImani za kidini barani Afrika ni zaidi ya madawa ya kulevya zimeharibu akili na mfumo mzima wa kufikiri wa waafrika.
Linapokuja suala la udini Waafrika wanampigania Mungu kwa nguvu zao zote wakitetea dhana ya kufikirika ambayo hawawezi hata kuithibitisha uwepo wake. Tena unakuta wanaipigania kwa nguvu zote na mabishano makali kabisa.
Lakini huyo Mungu wanaye mpigania miaka nenda rudi hajawahi kuonekana, kujitokeza, kujidhihirisha wala kuwasaidia chochote. Ni watu tu wanabaki kudai, kujifariji na kujipa matumaini uchwara kwamba wanasaidiwa na "Mungu" ilhali kiuhalisia ni wao wenyewe wanahenyeka na kukabiliana na matatizo yao.
Lakini cha kushangaza likija suala la kutetea na kupigania haki zao za msingi katika jamii wanamwachia Mungu awapiganie! Na huyo Mungu hajawahi kuwapigania kwa lolote.
Waafrika maskini wanazidi kuhujumiwa na viongozi wao wa kiserikali, Kodi zao zinaliwa, Haki zao zinaminywa, Mali na rasilimali zao zinaporwa na kutumiwa hovyo hovyo tu.
Halafu watu wanabaki kutulia na kusema tunamwachia Mungu, Mungu atatusaidia, Mungu atatulipia na kutupigania.
Sasa unajiuliza hizo nguvu za kumpigania huyo Mungu wa kufikirika kwenye dini,
Wakizielekeza na kuzitumia kwenye kupigania haki zao za msingi katika jamii zao si wataishi maisha safi kabisa?
Lakini kwa vile wengi wa waafrika wamesha pumbazwa na kuaminishwa utajiri na ufalme wa kufikirika mbinguni wala hawajihangaishi kupigania haki zao za msingi hapa duniani.
Watu wanaishi kwa kujipa matumaini uchwara ya maisha bora ya kufikirika mbinguni. Huku wakizidi kuteseka na umaskini wao, kuhujumiwa na kusulubishwa ipasavyo na viongozi wao wa serikali.
Katika maswala ya "Imani" binadamu ni kiumbe mpumbavu sana. Badala ya kujipigania yeye mwenyewe, Anapigania dhana ya kufikirika iitwayo Mungu ambayo kiuhalisia hata haijawahi kuwepo na haipo kujidhihirisha yenyewe.
No amount of prayers, faith, hope and grace can solve your problems in life for you.
No matter how strong you shout or scream the name of God in what you call praying, Your life will be miserable if you don't think, reason, plan and take productive actions to solve your own problems in life.
During those darkest moments in life when it feels like God has abandoned you, Remember that God was never with you in the first place. Because he doesn't exist in reality. He exists only in your head and in your imaginations.
The same God who has disappointed uncountable people in the world, Keep disappointing many people daily including you.
Any country waiting for God to come and help them will forever remain poor economically, medically, academically, technologically until such mental slavery religious faith is totally abolished.
Any person waiting for God to come and solve his or her problems in life will forever remain poor financially, Until such mental slavery religious faith is totally abolished.
In the jungle of life salvation is largely on your hands. No God, spiritual power or ritual can solve your problems.
If you are born into a poor financial foundation and you keep waiting for God to come and help you, You will suffer financially and die miserably.
Poverty strikes hard when laziness and ignorance is combined with prayers.
Take this bitter truth and let it sink deep in your mind.
I'm out.
Kabisa mkuu.Dini ni scam, dini ni Ukoloni, Dini ni Uzwazwa
Hapo ni Somalia watu wanapigania dini ye Mwenyezi Mungu harafu Mungu mwenyewe sasa kawaacha wanakongoroka😅😅Mungu gani ameshindwa na anashindwa kuwapigania maelfu ya watoto wachanga na wanawake wanaoteseka na wanaokufa kila kukicha maeneo mbalimbali duniani kwa njaa, vita, magonjwa na majanga ya asili?
Hivi huyo Mungu anasaidia nini?
Maelfu ya watoto wachanga wasio na hatia yeyote ile wamekufa huko Gaza kwa vita, wamekufa kwa majanga ya asili kama kimbunga idai kilichoua maelfu ya watu Mozambique na Malawi na maeneo mengine duniani.
Halafu unasema huyo Mungu anasaidia?
Anasaidia nini?
View attachment 3178057
Sahihi, kuna watu ukiwaondolea dini wanapoteza maana na matumaini ya kuishi kabisaLakini kuna namna nyingi hizi dini zinasaidia kusema kweli
Watu wanahitaji kitu cha kuamini
Binadamu ni kiumbe mpumbavu sana kwenye maswala ya Imani.Hapo ni Somalia watu wanapigania dini ye Mwenyezi Mungu harafu Mungu mwenyewe sasa kawaacha wanakongoroka😅😅
Ndio utumwa huu sasa. Hizi dini zinaleta vita, ubaguzi, udwanzi na uhasama.Sahihi, kuna watu ukiwaondolea dini wanapoteza maana na matumaini ya kuishi kabisa
Kwani kabla ya ujio wa dini watu waliwezaje kuishi?Sahihi, kuna watu ukiwaondolea dini wanapoteza maana na matumaini ya kuishi kabisa
Walikuwa na animistic religionsKwani kabla ya ujio wa dini watu waliwezaje kuishi?
Wahadzabe, Watindiga, Wasandawe na Bushmen huko maporini wanaishi kwa amani na furaha kabisa bila kuwa hata na dini.
Na life lao liko poa kabisa.
Sasa inashangaza kabisa mtu mwingine ambaye ukimwondolea dini hawezi kuishi.
Mtu wa namna hiyo hana utimamu wa kufikiri sawasawa.
Religions ni dhana za kutungwa na binadamu tu.Walikuwa na animistic religions
Wote ulio wataja hapa ni fictional characters. Wana exist vitabuni tu kwenye hadithi na masimulizi ya kale.Dini imesaidia sana Afrika.
Ila baadhi ya taasisi ziliitumia kiwafunga badala ya kuwafungua wanadini. WATU WA IMANI WALIPOFIKA POPOTE KWENYE MQANDIKO WALILETA MAPINDUZI MAKUBWA YA KIMAADILI NA KIUCHUMI
MUSA
YUSUFU
YOSHUA
DANIEL
NEHEMIA
ESTA
YESU
MITUME
ETC
Tena dini za Sasa zimegeuka kuwa Gangs of RoberyReligions ni dhana za kutungwa na binadamu tu.
Hazina uthibitisho wowote ule wa hicho kinacho aminiwa kwenye religion husika.
wewNi wewe tu unahangaika kumsifia na kumwelezea huyo Mungu wako wa kufikirika hapa.
Huyo Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo kwenye uhalisia.
If faith without work is nothing then faith itself is nothing.