Linasubiriwa tukio lolote litokee nchini Iran ili liunganishwe na shambulizi la Israel

mimi sijatetea chochote nimetumia logic kuwaza endapo ningekuwa mimi ningeamuaje...sasa iran kama inaweza sana siiendelee na mashambulizi...
 
Kashindwa mada kaingiza udini 6 pack awakuwezi umembwaga uyo mshkaj.
Jamaa ni mjinga sana, badala ya kujibu mada, yeye anapambania dini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Iran imesema kuwa Israel ikithubutu kujibu itachezea kichapo tena kama kawa. Na hiyo ndio sababu kuu ya Israel kuogopa kujibu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
 
Hahaha wafusi wa papa mna tabu

Muone ibrahimu huyu:
Luke 16:23

Basi, kule kuzimu aliyainua macho yake, alipokuwa katika mateso, akamwona Ibrahimu kwa mbali, na Lazaro kifuani mwake.
 
Bado linasubiriwa tu hilo tukio?
Toka Israel ichapwe tareh 1 mpaka leo tareh 13 hajathubutu kurusha hata jiwe. Lakini pia Iran hakuna tukio la kushtua dunia lililotokea, hivyo inakua ngumu kusema kuwa kitu fulan kilichotokea Iran kimesababishwa na MOSSAD. Hivyo basi jamaa wataendelea kufuatilia na kusubiri jambo lolote la kushtua au kushangaza litokee Iran ndo watumie media zao fasta fasta kama BBC, DW, CNN nk kudai kuwa Israel ndo imefanya hilo tukio kwa ajili ya kulipiza kisasi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Yani hata waziri wa Iran gari yake ikipata pancha, watasema kuwa hiyo ni operation ya MOSSAD wapo kazini. Kamwe haiwezi kuona Israel inarusha makombora kwenda Iran kama vile Iran inavyorushaga makombora kwenda Israel muda wowote, na siku yoyote wanayotaka.
 
Sio muda mrefu utakuja kupotea humu na labda na kubadilisha kabisa na I'd.
 
Wewe umewapima DNA..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…