Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa jamaa wanasema waajiriwa wao ni form four failures tu. Siongezi nenoJeshi la Polisi mkoani Lindi, limemfuta kazi askari No.H.2324 PC Joseph kwa kosa la kumpiga risasi askari mwenzake No J.1752 PC Onesmo Joseph wakiwa lindo katika Benki ya CRDB Tawi la Ruangwa kilichosababisha kifo chake akiwa njiani kupelekwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Kauli hiyo imetolewa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Lindi ACP Mtatiro Kitinkwi wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisi kwake
Askari wa jeshi la polisi aliyetambulika kwa jina la PC Joseph amemuua askari mwenzake Onesmo Joseph wakiwa kwenye kazi ya kulinda tawi la benki ya CRDB wilayani Ruangwa mkoani Lindi.
Kamanda wa polisi mkoani Lindi amesema askari hao walikuwa wakigombania pikipiki na tayari PC Joseph amefutwa kazi na atafikishwa mahakamni muda wowote kuanzia sasa.
Walikuwa wanagombania pikipiki😂 eti! Sasa utajiuliza hio pikipiki ni ya dhahabu auMbona taarifa haisemi nini chanzo cha kumpiga risasi askari mwenzie, au risasi ilifyatuka bahati mbaya?
Tutoe PolePoliccm wanaruka na kukanyagana.
Pikipiki aliyempiga alimuazima mwenzake pikipiki akachelewa kurudi wamebishana kamfyatua mwenzakeDhamira ya kumpiga risasi ni nini tofauti zao au ndio jamaa yake na Hamza huyu
Baada ya kuua Sana Wananchi wameanza kuuana wenyewe Kwa wenyewe.Acha roho ya kichawi
Maelezo hayatoshi bado kuna kitu zaidi ya pikipiki navowajua askariJeshi la Polisi mkoani Lindi, limemfuta kazi askari No.H.2324 PC Joseph kwa kosa la kumpiga risasi askari mwenzake No J.1752 PC Onesmo Joseph wakiwa lindo katika Benki ya CRDB Tawi la Ruangwa kilichosababisha kifo chake akiwa njiani kupelekwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Kauli hiyo imetolewa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Lindi ACP Mtatiro Kitinkwi wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisi kwake
Askari wa jeshi la polisi aliyetambulika kwa jina la PC Joseph amemuua askari mwenzake Onesmo Joseph wakiwa kwenye kazi ya kulinda tawi la benki ya CRDB wilayani Ruangwa mkoani Lindi.
Kamanda wa polisi mkoani Lindi amesema askari hao walikuwa wakigombania pikipiki na tayari PC Joseph amefutwa kazi na atafikishwa mahakamni muda wowote kuanzia sasa.
Kaeleza chanzo ni kugombea pikipiki.Mbona taarifa haisemi nini chanzo cha kumpiga risasi askari mwenzie, au risasi ilifyatuka bahati mbaya?
Kwani mkuu unalindwa kwa hiari yako ama tuseme kipenda roho?Ndio watulinde sisi hawa akati wao wenyewe wameshindwa kulindana
Huyu nae ni gaidi familia yake wakamatwe na kuhojiwa vizuriJeshi la Polisi mkoani Lindi, limemfuta kazi askari No.H.2324 PC Joseph kwa kosa la kumpiga risasi askari mwenzake No J.1752 PC Onesmo Joseph wakiwa lindo katika Benki ya CRDB Tawi la Ruangwa kilichosababisha kifo chake akiwa njiani kupelekwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Kauli hiyo imetolewa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Lindi ACP Mtatiro Kitinkwi wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisi kwake
Askari wa jeshi la polisi aliyetambulika kwa jina la PC Joseph amemuua askari mwenzake Onesmo Joseph wakiwa kwenye kazi ya kulinda tawi la benki ya CRDB wilayani Ruangwa mkoani Lindi.
Kamanda wa polisi mkoani Lindi amesema askari hao walikuwa wakigombania pikipiki na tayari PC Joseph amefutwa kazi na atafikishwa mahakamni muda wowote kuanzia sasa.
PC Joseph amemuua PC Joseph kisa tukutuku!Jeshi la Polisi mkoani Lindi, limemfuta kazi askari No.H.2324 PC Joseph kwa kosa la kumpiga risasi askari mwenzake No J.1752 PC Onesmo Joseph wakiwa lindo katika Benki ya CRDB Tawi la Ruangwa kilichosababisha kifo chake akiwa njiani kupelekwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.