Lindi: Askari afutwa kazi na Jeshi la Polisi kwa kumpiga risasi mwenzake wakiwa lindo

Askari wa jeshi la polisi aliyetambulika kwa jina la PC Joseph amemuua askari mwenzake Onesmo Joseph wakiwa kwenye kazi ya kulinda tawi la benki ya CRDB wilayani Ruangwa mkoani Lindi.

Kamanda wa polisi mkoani Lindi, Mtatiro Kitinkwi amesema askari hao walikuwa wakigombania pikipiki na tayari PC Joseph amefutwa kazi na atafikishwa mahakamni muda wowote kuanzia sasa.
 
Hawa jamaa wanasema waajiriwa wao ni form four failures tu. Siongezi neno
 
Mbona taarifa haisemi nini chanzo cha kumpiga risasi askari mwenzie, au risasi ilifyatuka bahati mbaya?
Walikuwa wanagombania pikipiki😂 eti! Sasa utajiuliza hio pikipiki ni ya dhahabu au
 
Usikute hao wote ni watu wa makabila ya mikoa ya kanda ya ziwa watu wa huko wana akili za hovyo sana na maamuzi yao huwa na athari mbaya baadaye.
 
Maelezo hayatoshi bado kuna kitu zaidi ya pikipiki navowajua askari
 
Huyu nae ni gaidi familia yake wakamatwe na kuhojiwa vizuri
 
PC Joseph amemuua PC Joseph kisa tukutuku!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…