Lindi: Askari afutwa kazi na Jeshi la Polisi kwa kumpiga risasi mwenzake wakiwa lindo

Ipo siku huyu angemuua RPC,
 
Polisi kuuwana au kujiua kwa risasi hiyo kawaida yao. Ni madhambi yao ya kuwadhulumu na kuwabambikia watu kesi.
 
Ingekuwa Hamza, angeitwa gaidi!! Huyu siyo gaidi?
 
roho mbaya tu inakupa stress.kuwa na utu hata kidogo,linapokuja Jambo la uhai wa mtu ,mkuu!!
Utu nyie mnao wakati mnawanapoteza watu kama sindano ya kushonea nguo? Mmewamaliza, mmebaki wenyewe kwa wenyewe. Kulaneni mamumiani nyie.
 
maisha yakimchapa binaadam stress zinarusha akili kabisa.

yaani anakuwa kama fisi.
Polisiccm wana stress gani wakati wao na familia zao maisha ni tambarare wanakula kisusio tu? Sukari, petrol wao wanapata bure tu.
 
Pole sana ila ulipona au ulikufa?
 
Tukio hilo liliwahi kutokea arusha aliondoka na wenzake watano,kisa walipiga mande mbususu yake aliiacha mageto ya mabati
 
Da!so sad,kijana mdogo kabisa wa juzi akiwa ni miongoni mwa wahitimu wa mafunzo ya JKT Bulombola Kigoma,sizan kma ana hata miaka 3 kazini,mwananchi mwenzangu wa hapa Muhambwe Kibondo kigma,..R.I.P
 
Duh! Kweli nchi ngumu kufa kwa polisi shangwe kwa baadhi ya raia .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…