mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 31,415 Reaction score 38,761 Dec 11, 2021 #61 Getang'wan said: Polisiccm wana stress gani wakati wao na familia zao maisha ni tambarare wanakula kisusio tu? Sukari, petrol wao wanapata bure tu. Click to expand... nazungumzia wenye hasira kwa polisi hapa kwenye huu uzi.
Getang'wan said: Polisiccm wana stress gani wakati wao na familia zao maisha ni tambarare wanakula kisusio tu? Sukari, petrol wao wanapata bure tu. Click to expand... nazungumzia wenye hasira kwa polisi hapa kwenye huu uzi.