Lindi mbona pamepoa sana jamani?

Ahaa sehemu za hivyo Mimi sizitaki sana nataka sehemu wanazo kaa wenyeji kama Lindi. Sio unaenda kivinje huko au masasi halafu unakutana na mademu wametoka kinondoni wakati na wewe mwenyewe imetoka kinondoni
😂😂duuh hatari
 
Sogea Paris Club jirani Kuna shule inaitwa Stadium dada yeyote ukimkuta eneo hilo bila kujali amevaake we beba, eneo la pili nenda beach Kuna club inaitwa Mashujaa Musement Park Kwa pembeni Kuna chimbo lao, Tatu nenda eneo linaitwa uwanja wa fisi ila Hawa jiandae na UTI na GONO
 

Cheki inbox mkuu
 
Usafi wa vyakula, miili yao pamoja na guest kama si lodge upoje?
 
Kuna vijana wa hovyo sana Lindi...wale wanaouza maji Kwa wasafiri hapo stend hujaza maji feki kwenye chupa!!
 
Tatizo hujaenda kutafuta mganga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…