Hili jamaa ni pumbavu sana yaani linatembea na mapanga ya kutishia watu? Sifa za kijinga hizo!
Emmanuel Manase, Mtumishi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (LATRA) alimtolea sime dereva wa lori akimtaka ampe leseni yake.
Tukio hilo limeonekana kuwa na ugomvi mkubwa na baadae mtumishi huyo aliamuru dereva aandikiwe faini ya Tsh. 500,000 ili kumkomoa.
Umoja wa Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA) wamelaani tukio hilo kwa kuwa kama asingekuwa afisa wa polisi katika tukio lile wanasema yangetokea madhara makubwa.
Kama chuo kilishindwa kumnyoosha, huo nao ni udhaifu wa hiko Chuo!!Manase nimesoma nae UDSM, ni mtata sana...
Busara ikizidi inakuwa udhaifu, mtu anatishia kuua halafu badala ya kumuwekaAskari wa trafiki hapo wameonesha busara ya hali ya juu ila huyo jamaa wa LATRA sjui ni ushamba au
panga la nini tena hapo, angempiga nalo si angejitafutia balaa au ndiyo kutaka kujionesha shujaa?
Ova
Tukio hili liwefundisho kwa kuwa na mitaasisi mingi ambayo inafanya kazi zinazofanana,hapo kila mtu anadeal na mtu mmoja ambaye ni dereva
Emmanuel Manase, Mtumishi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (LATRA) alimtolea sime dereva wa lori akimtaka ampe leseni yake.
Tukio hilo limeonekana kuwa na ugomvi mkubwa na baadae mtumishi huyo aliamuru dereva aandikiwe faini ya Tsh. 500,000 ili kumkomoa.
Umoja wa Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA) wamelaani tukio hilo kwa kuwa kama asingekuwa afisa wa polisi katika tukio lile wanasema yangetokea madhara makubwa.
Hahahah kuna watu wanapenda ubabe wa kijinga. Ukikutana na mtu hapendi kuonewa ndio hali huwa hivi. Halafu hapo ni kwa vile askari wapo ila angekuwa hana mpambe wa kugombelezea angetolewa upepo huyo na makelele yake mengi.Hivi vitu ndiyo unakutana na mtu ambaye ameshapiga cha Arusha, na kiunoni ana mguu wa kuku anakufumua ubongo na hicho kisime chako. Mwenzio ataishia kifungo cha maisha (maana kusaini kifo nayo mtihani) wewe umeshatangulizwa motoni huko.
Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
Watu wa hivyo hawanaga pumzi. Ukimkazia mapafu dakika 10 nyingi anakuwa katepeta vibaya mno.Askari wa trafiki hapo wameonesha busara ya hali ya juu ila huyo jamaa wa LATRA sjui ni ushamba au
panga la nini tena hapo, angempiga nalo si angejitafutia balaa au ndiyo kutaka kujionesha shujaa?
Ova
Mwisho wake hautakuwa mzuri...Utata wa kisenge huo! Hana nidhamu ya kazi...Analeta ubabe wa kishamba af anakimbilia panga la nini?Manase nimesoma nae UDSM, ni mtata sana...
Hahahah nimecheka kinoma 😂😂😂
Hahahahaha alifanya ujinga kwenu mkafanya upumbavu kwake 😂😂😂😂😂 safi sana. Kazi nzuriKweli kabisa Mkuu..ni tabia ya vijana wengi sana wa namna yake.
Kiburi chake ni mfano wa wengi kama huyo.
Mwezi wa saba mwaka huu kuna kisa flani cha mtumishi kama yeye.
Walisababisha ajali mbaya sana kwa kugonga watu watatu tena kati ya hao mmoja wao alikuwa mtumishi pia.
Wakaenda kuwabwaga Hospitali sasa katika kufuatilia fuatilia jamaa walikuwa wakorofi sana.
Tulifanikiwa kuondoka na mmoja wao,mbele ya askari Mtumishi yule alifanya tukio la ajabu sana.
Alichokutana nacho sidhani kama atasahau maisha yake yote.Tunawashukuru askari pia walimwajibisha baada ya kuona uwajibikaji wetu mbele yao 😀 😀 😀
Ashauriwe kuna muda atakutana na mikono sahihi kabisa inayomhusu.
Mshenzi huyo jamaa. Mie nisingemuacha maana watu kama hawa wapenda sifa dawa yao ni mkong'oto jazz band! Unamtia kisago na kumuacha kavunjika viungo anagala gala chini...Mengine tutamalizana mahakamani.Tofautisha utata na upumbavu,huyu manase ni mpumbavu.
Ni basi tu imekuwa bahati hili limefika mitandaoni lakini kuna mengi sana ya hovyo kwenye taasisi nyingi sana zenye mamlaka yakupigisha watu faini,yanayoendelea mamlaka kama TRA yanatisha,watu wanaonewa sana.
Ame act kama mtu ambaye hana darasa hata moja. Haifai wala kupendeza.Ubaya unatabia yakujilipiza kisasi,siku ubaya ukihamia upande wako tafadhali uendelee kusherehekea,usishangilie tatizo la mwenzako,manase hapaswi kuachwa hivihivi,hata kama awe na CV ya aina gani hakuna taasisi itakayosujudia CV ya mtu mtovu wa nidhamu wa kiwango kile.
Je ange miliki bastola si angeshaitoa hapoAme act kama mtu ambaye hana darasa hata moja. Haifai wala kupendeza.
hahahahJe ange miliki bastola si angeshaitoa hapo
Ila nawapa kongole hao askari wa barabarani walijaribu kumtuliza jamaa na kumuondoa huyo dereva hapo
Ova
Fala sana aisee,joga kwelikweli .Mwisho wake hautakuwa mzuri...Utata wa kisenge huo! Hana nidhamu ya kazi...Analeta ubabe wa kishamba af anakimbilia panga la nini?
Huyo alitakiwa ashushiwe mvua ya NAKO yani unamvujisha fasta fasta.Fala sana aisee,joga kwelikweli .
Mwili wote huo linakimbilia panga hapo kadereva hakajaanza nzegembe,na kuna polisi,angekua peke yake na dereva tu si angefanyaje anaweza kushusha suruali mwenyewe huyu akabinjuka