mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,773
- 2,183
Kila siku nawaambia CCM bila msaada wa Polisi ni wepesi kama karatasi Hata jiwe lao ni jepesi kama pamba!CCM uoga wa nini kukaa na kukamata wapinzani. Kama mnaji amini kwamba mnakubalika si msubiri mpambano 2020.
#FairPlay2029
Ile hukumu ya uchochezi sasa ndio inaenda kufanya kazi.Kwa mujibu wa Chama cha ACT Wazalendo kupitia mtandao wa Twitter, Kiongozi wa chama hicho Zitto Kabwe na Mbunge wa Kilwa Kaskazini, Sulemani Bungara (Bwege) wamekamatwa
Chama hicho kimeeleza kuwa Polisi wamewasili kwenye mkutano wao wa ndani Wilayani Kilwa ambapo shughuli za kuwapokea Madiwani 8 wa CUF zilikuwa zinaendelea
Aidha, kimebainisha kuwa kitatoa taarifa zaidi baadaye kwani sasa Viongozi wa chama hicho mkoni humo pamoja na Wanachama wanaelekea Kituoni
Hao wahuni kina zito wakamatwe tu hatutaki siasa chafu
Uhuni ni nn?Hao wahuni kina zito wakamatwe tu hatutaki siasa chafu
Lazima tulinde amani ya nchi yetu kwa nguvu zote
haiwezekani jeshi la polisi liruhusu mambo ya kihuni
Tatizo ni kuwa wametawaliwa na uoga utadhani wao ndiyo chama cha upinzani.Mbona Jiwe na CCM yake washaanza Kampeni na hawakamatwi?
Hao hawajiamini hata kidogo......CCM uoga wa nini kukaa na kukamata wapinzani. Kama mnaji amini kwamba mnakubalika si msubiri mpambano 2020.
#FairPlay2029
CCM uoga wa nini kukaa na kukamata wapinzani. Kama mnaji amini kwamba mnakubalika si msubiri mpambano 2020.
#FairPlay2029
MNIOMBEE.
Lazima tulinde amani ya nchi yetu kwa nguvu zote
haiwezekani jeshi la polisi liruhusu mambo ya kihuni
Mungu akubariki wew na wanao kuzungukaHuu upumbavu umezidi sasa, kama wanataka nchi ya chama kimoja si wafute mfumo wa vyama vingi.
Sijutii kutoipenda CCM toka napaka akili timamu asante Mungu
Mungu akubariki wew na wanaokuzunguka.Huu upumbavu umezidi sasa, kama wanataka nchi ya chama kimoja si wafute mfumo wa vyama vingi.
Sijutii kutoipenda CCM toka napaka akili timamu asante Mungu
Yaani Bombadia, Boeing, "Flyovers" na porojo nyingine bado havijawasaidia tuu?CCM uoga wa nini kukaa na kukamata wapinzani. Kama mnaji amini kwamba mnakubalika si msubiri mpambano 2020.
#FairPlay2029
Kaka noma kweli, CCM wame print form moja tu ya kugombea urais, ukitaka kugombea inabidi uende magogoni au chamwino ukaombe kwa jiwe akutolee photocopy.Yaani Bombadia, Boeing, "Flyovers" na porojo nyingine bado havijawasaidia tuu?
Zipoje siasa chafu?Hao wahuni kina zito wakamatwe tu hatutaki siasa chafu