Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Naona WAZENJI wamepata UWAKILISHI wa kutosha!Rais ameshindwa kujielewa kuwa yeye ni Rais wa nchi, kwa barua hiyo ni wazi kuwa anajiona kama katibu mkuu wa CCM...
Shame
Mzee Pinda, Mizengo Kayanza kafanyeje?Huyu Pinda naona anakuwa na sehemu muhimu katika kulipindisha taifa hili.
Itabidi sasa tuanze kuwataja mmoja mmoja katika hawa watu wnaovuruga taifa hili.
Mizengo Pinda naona kashika sehemu kubwa, na toka sasa ahesabike kuwa mmoja wa maadui wakubwa wa nchi hii.
Hizi ni nchi mbili tofauti sana wala hazilinganishiki. Botswana kwa ukubwa ni karibu tuko sawa lakini 90% ni tupu, ni jangwa. Idadi ya watu ni ndogo kuliko Mkoa wa Singida, yaani sawa na Zanzivar. Hazilinganishiki. La pili ni kuwa Tanzania imeigomboa Namibia, Zimbabwe, South Africa na Zambia yenyewe. Botswana haina stori yoyote ya ukombozi. Shaka ni Kiongozi wa juu wa Chama kilichosimamua ukombozi wa eneo lote Kusini mwa Africa.Wakati wenzetu Botswana wakipeleka High Level Government Officials sisi tunapeleka Makada wa CCM.
Botswana wanaenda kujenga au kuimarisha economic networking na mengine, sisi tunawapeleka akina Shaka wakawafundishe Zambia jinsi ya kuiba kura na kutumia state apparatuses kubaki madarakani.....pathetic
View attachment 1905090
View attachment 1905091
Tuhakikishie kuwa hao viongozi wa CCM hawasafiri kwa gharama za serikali wakati wapo katika orodha moja na viongozi wa serikali.Umeona usivyokuwa na akili?
Yeye ni mwenyekiti wa chama na Rais, ni vibaya akiambatana na viongozi wa Chama chake? Unahisi kila kitu ni gharama za serikali?
Acha kutetea ujingaUmeona usivyokuwa na akili?
Yeye ni mwenyekiti wa chama na Rais, ni vibaya akiambatana na viongozi wa Chama chake? Unahisi kila kitu ni gharama za serikali?
Utaiondoa Botswana katika kundi la nchi zilizokuwa mstari wa mbele katika ukombozi; hiyo ni historia ya wapi?Hizi ni nchi mbili tofauti sana wala hazilinganishiki. Botswana kwa ukubwa ni karibu tuko sawa lakini 90% ni tupu, ni jangwa. Idadi ya watu ni ndogo kuliko Mkoa wa Singida, yaani sawa na Zanzivar. Hazilinganishiki. La pili ni kuwa Tanzania imeigomboa Namibia, Zimbabwe, South Africa na Zambia yenyewe. Botswana haina stori yoyote ya ukombozi. Shaka ni Kiongozi wa juu wa Chama kilichosimamua ukombozi wa eneo lote Kusini mwa Africa.
labda WAMEGAWANA MAJUKUMU! Botswana alete viongozi sisi tuje na kikundi cha ngomaWakati wenzetu Botswana wakipeleka High Level Government Officials sisi tunapeleka Makada wa CCM.
Botswana wanaenda kujenga au kuimarisha economic networking na mengine, sisi tunawapeleka akina Shaka wakawafundishe Zambia jinsi ya kuiba kura na kutumia state apparatuses kubaki madarakani.....pathetic
View attachment 1905090
View attachment 1905091
Dah nyie watu jamani watata sanaBotswana wamesema wanarudi siku hiyohiyo sasa hawa wakwetu naona watalala huko huko kabisa mbona hawajaandika wanarudi lini, wameandika tarehe ya kwenda tu yaani hadi hapo tumepigwa
Mkuu ni kwa nini hawataki tujue?Tumepeleka kama wao ila ndege kubwa tumeongeza kidogo. Si unajua hatutaki Watanzania wajue kule wameshinda Upinzani
Tunakatwa tozo hivyo hela ya kutapanya ipo nyingi tuWakati wenzetu Botswana wakipeleka High Level Government Officials sisi tunapeleka Makada wa CCM.
Botswana wanaenda kujenga au kuimarisha economic networking na mengine, sisi tunawapeleka akina Shaka wakawafundishe Zambia jinsi ya kuiba kura na kutumia state apparatuses kubaki madarakani.....pathetic
View attachment 1905090
View attachment 1905091
Na hiyo Botswana wapo vizuri zaidi kiuchumi. Umeona pia kwenye msafara yupo kiongozi wa upinzani? Hapa kwetu kiongozi wa upinzani yupo jela.Wakati wenzetu Botswana wakipeleka High Level Government Officials sisi tunapeleka Makada wa CCM.
Botswana wanaenda kujenga au kuimarisha economic networking na mengine, sisi tunawapeleka akina Shaka wakawafundishe Zambia jinsi ya kuiba kura na kutumia state apparatuses kubaki madarakani.....pathetic
View attachment 1905090
View attachment 1905091
Kwani hao makada wa CCM ni government officials? Au hauelewi maana ya gvt officials?Mtoa mada unaelewa nini ukiambiwa GOVERNMENT OFFICIALS??????
unadhani ni mtu mmoja hapo?
Ukapimwe inaelekea ww ndo hujui kitu kabisaaa!Umeona usivyokuwa na akili?
Yeye ni mwenyekiti wa chama na Rais, ni vibaya akiambatana na viongozi wa Chama chake? Unahisi kila kitu ni gharama za serikali?
Mkuu chama cha ukombozi ni TANU, CCM ni mtoto wa TANU na AFROSHIRAZ. Tunaelekea kupata mjukuu muda si mrefuHizi ni nchi mbili tofauti sana wala hazilinganishiki. Botswana kwa ukubwa ni karibu tuko sawa lakini 90% ni tupu, ni jangwa. Idadi ya watu ni ndogo kuliko Mkoa wa Singida, yaani sawa na Zanzivar. Hazilinganishiki. La pili ni kuwa Tanzania imeigomboa Namibia, Zimbabwe, South Africa na Zambia yenyewe. Botswana haina stori yoyote ya ukombozi. Shaka ni Kiongozi wa juu wa Chama kilichosimamua ukombozi wa eneo lote Kusini mwa Africa.
Aisee yaani jamaa kakurahisishia umeshindwa kufanya analysis. Hakuna mtu amepinga Shaka na WANEC wenzake kwenda huko Zambezia river bali amekwambia uangalie tofauti ya delegation.Hizi ni nchi mbili tofauti sana wala hazilinganishiki. Botswana kwa ukubwa ni karibu tuko sawa lakini 90% ni tupu, ni jangwa. Idadi ya watu ni ndogo kuliko Mkoa wa Singida, yaani sawa na Zanzivar. Hazilinganishiki. La pili ni kuwa Tanzania imeigomboa Namibia, Zimbabwe, South Africa na Zambia yenyewe. Botswana haina stori yoyote ya ukombozi. Shaka ni Kiongozi wa juu wa Chama kilichosimamua ukombozi wa eneo lote Kusini mwa Africa.
Well said mkuu,giza haindolewi kwa giza bali nuru.Shukrani sina akili, wewe una akili sana hadi unajibu vitu ambavyo ni nje ya topic. Jitahidi kuficha ujinga wako na usipende kuanzisha ligi usizoweza
Tanzania kuongoza a na Mpinzani ni mwiko..... Inaelekea mchawi wa CCM ndivyo alivyowaelekeza.Wakati wenzetu Botswana wakipeleka High Level Government Officials sisi tunapeleka Makada wa CCM.