Linganisha Delegation ya Botswana na ya Tanzania kwenye kuapishwa Rais Mteule wa Zambia

labda WAMEGAWANA MAJUKUMU! Botswana alete viongozi sisi tuje na kikundi cha ngoma

ila sio vizuri Rais kusafiri na watu wote hao! hapo kaondoka na chama! likitokea la kutokea inakuwa shida
Hahahahahha Mpwa huna adabu hahahahah shenzi zako huwezi kunifanya nicheke nionekane bwege hivi. Dah kwahio Tz tunapeleka Mdundiko??
 
Kwahio bado wanahitaji Ukombozi? Kama hapana, basi kwenda kwake ni useless na mtoa mada pia. Angeenda Waziri wa Uchukuzi kama tunaye.....Waziri wa mambo ya uwekezaji kama tunaye....
 
Tufanye ayo uliyoongea kwel ,je apo kaenda shaka tu kutoka iko chama unachosema kimeikomboa zambia
 
Mkuu unasema Botswana wanaenda kuimalisha Networking ya Biashara, kwenye hiyo huo msafara wa Botswana kuna wafanyabiashara? Au Rais Mogae ndiye mfanyabiashara? Au huyo Head of Opposition ni muwekezaji?
Kwahio wewe networking ni hadi abebe wafanyabiashara kwenye kuapishwa?? Duh
 
Tufanye ayo uliyoongea kwel ,je apo kaenda shaka tu kutoka iko chama unachosema kimeikomboa zambia
Haahahaah ndio swali nililiomuuliza pia. Haahhaahah Nchi ngumu sana hii
 
Umeona usivyokuwa na akili?
Yeye ni mwenyekiti wa chama na Rais, ni vibaya akiambatana na viongozi wa Chama chake? Unahisi kila kitu ni gharama za serikali?
Ndio ujinga WA watanzania hapo wanahisi muda wote ni pesa za serikali.
 
Ujinga uliopitiliza, hayo hutomsikia Gwajima akiyapinga huko ufufukoni na kuliko kosa uzima.

Hii nchi kuna haja ya kufanya mambo nje ya keyboard.

Everyday is Saturday............................. 😎
Every day is Togwa day
 
Waache waendelee kutafuna hela zetu
 
Kwani viongozi wa ccm siyo government officials? Kwani ccm si ndiyo inaongoza government of Tanzania kwa sasa? Kama unadhani kuwa government officials maana yake ni civil servants, utakuwa unakosea sana.
 
Kosa letu ni kutaja all delegates

we are all the same
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…