dindilichuma
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,736
- 2,699
Kwamba uende kanisani kwaajili ya kuzikwa?Unaacha kwenda kanisani na chama cha siasa huna uanachama, ukifa utazikwaje? Utazikwa kibudu kama mbwa
JanaNgoja nisome comments...
ghost/spirit/soul, mwili ndio unaokufa ila roho yako haifi utapumzika kuzimu kwanza ukisubiri hukumu uende mbinguni au jehanamu kutokana na matendo yako uliyotenda ukiwa hai kimwili. Kwanza omba toba usamehewe dhambi zako kabla hujafaUnaamini dini alafu unaamini habari za mizimu?
Watu wananipinga kwa sababu wanapenda madhehebu na wapo kwenye utumwa wa madhehebu yaoTazama, saa yaja ambayo waabuduo halisi watamwabudu Mungu katika roho na kweli. Lakini pia Mungu haishi kwenye majumba yaliyojengwa na wanadamu.
Unakwenda kanisani ili uzikwe vizuriUnaacha kwenda kanisani na chama cha siasa huna uanachama, ukifa utazikwaje? Utazikwa kibudu kama mbwa
ufie majini au motoni na mwili wako usionekane kama ulikuwa ni muumini utafanyiwa ibada tu kuwa haupo duniani. Watu wanaenda kanisani kumuabudu mungu, the rest is just a common objectsKwamba uende kanisani kwaajili ya kuzikwa?
Ukifa hauna unalolijua na unaweza kupotelea kwenye maji ukaliwa huko hoja ya kuzikwa haiwezi ikawa ni hoja ya mtu kwenda kanisani.
Kuzikwa ni suala la wazikaji walio hai sio aliekufa, Aliekufa kwangu mimi hawezi kuathirwa na maziko
Imani yangu ipi ...hiyo niliyo andika hapo ndiyo imani ya mitume wote na manabii wote hata yesu alipoenda hekalu alifuata huo muongozo ...sasa sijui hiyo unayo ita kiroho ni kutokumtii mungu au la maana mtu wa rohoni umtii mungu katika kila neno lake..na hizo taratibu ziliamriwa na mungu mwenyewe juu ja patakatifu pake ...kumbuka musa alivyo ambiwa vua viatu kwa sababu hapa ulipo simama ni sehemu takatifu je musa angekataa kuvua viatu na kumwambia mungu mimi.nipo kiroho zaidi ...je KUWA KIROHO NI KUTOKUMTII MUNGU AU KUMTII MUNGUNinaheshimu imani yako, ila nyie mko kimwili zaidi.
Mungu ni zaidi ya kujimwagia maji.
Mwabudu Mungu katika ROHO na KWELI.
si lengo, lengo la kwenda kanisani ni kumuabudu MunguUnakwenda kanisani ili uzikwe vizuri
Mungu a abudiwi kanisani bali rohonisi lengo, lengo la kwenda kanisani ni kumuabudu Mungu
Ukizikwa kwa heshima nini kiataongezeka kwenye kifo chakoUnaacha kwenda kanisani na chama cha siasa huna uanachama, ukifa utazikwaje? Utazikwa kibudu kama mbwa
Sawa.Imani yangu ipi ...hiyo niliyo andika hapo ndiyo imani ya mitume wote na manabii wote hata yesu alipoenda hekalu alifuata huo muongozo ...sasa sijui hiyo unayo ita kiroho ni kutokumtii mungu au la maana mtu wa rohoni umtii mungu katika kila neno lake..na hizo taratibu ziliamriwa na mungu mwenyewe juu ja patakatifu pake ...kumbuka musa alivyo ambiwa vua viatu kwa sababu hapa ulipo simama ni sehemu takatifu je musa angekataa kuvua viatu na kumwambia mungu mimi.nipo kiroho zaidi ...je KUWA KIROHO NI KUTOKUMTII MUNGU AU KUMTII MUNGU
Alipo enda hekaluni alifuata taratibu zote.Yesu alifanya wapi?
Nipo tajiri, habari za siku?Mkuu upo?
Leo kwenye Saa 7 hii( dhuhur)Ngoja nisome comments...
Ukizikwa na kanisa unasamehewa dhambi?Unaacha kwenda kanisani na chama cha siasa huna uanachama, ukifa utazikwaje? Utazikwa kibudu kama mbwa
Faida ya kuzikwa kwa heshima ya dini ni nini? Nani ananufaika? Waombolezaji au marehemu?ni bora ukazikwa kwa heshima za kidini kuliko kuzikwa kimyakimya bila muongozo wa imani ya kidini