Lini kutakuwa na Mashindano ya kusoma Biblia kama ilivyokuwa Quran?

Lini Mashindano ya kusoma Biblia? kama ilivyokuwa Quran?

Au ni vigumu kuihifidhali?

Wadau wanaosoma biblia hebu watwambie.

Hichi kitabu kinahifadhika?
Quran ni nyimbo/mashairi

Mashindano ya Kusoma Quran, ni mashindano ya Memorization.

Biblia ni tofauti kimuundo ukilinganisha na Quran

Biblia ni Kilichogawanyika sehemu tofauti.

History, Hekima, Sheria, Theology and Philosophy.

Ubongo wa binadamu huchukua miaka walau 20 kukomaa na kuweza kutoa maana na kuwa na common sense juu ya mambo magumu kama Philosophy ndio maana Wakristo hawekezi muda mwingi kukariri badala yake wanajifunza kila kitabu kwa kina na kuchambua.

Ni rahisi kumkuta Muislam anasema Ibrahim alitaka kumchinja Ismail na wakajenga Kaaba saudi arabia, bila kujiuliza wala kutafuata ukweli kama Ibrahim aliwahi kufika Saudi Arabia.

Pia sababu nyingine ya kukalili Quran ni ukosefu wa Elimu dunia, hasa kipindi cha unzishwaji wa Uislam and imekuwa tradition
 
Lini Mashindano ya kusoma Biblia? kama ilivyokuwa Quran?

Au ni vigumu kuihifidhali?

Wadau wanaosoma biblia hebu watwambie.

Hichi kitabu kinahifadhika?
Wakristo hawawezi kufanya mashindano ya namna hiyo.

Biblia ni ne o la Mungu linalotuasa namna ya kuenenda katika maisha yetu ya hapa Duniani, huku tukitarajia nini katika maisha ya umilelele baada ya maisha ya hapa Duniani.

Kushindana kusoma hakuna msaada wowote katika kuufikia ufalme wa Mungu.

Kwa wakristo, hakuna mashindano ya kumtukiza Mungu bali kila mmoja hufanya kwa kadiri ya karama aliyojaliwa. Na Mungu pekee ndiye anajua kila mmoja amempa nini, na hivyo anatakiwa kumrudishia nini.

Rejea:
1 Wakorinto 12
Pia hakuna mtu awezaye kukiri, “Yesu ni Bwana,” isipokuwa ameongozwa na Roho Mtakatifu. 4 Basi kuna aina mbalimbali za karama, lakini Roho ni mmoja. 5 Pia kuna huduma za aina mbalimbali, lakini Bwana ni mmoja. 6 Kisha kuna aina tofauti za kutenda kazi, lakini ni Mungu yule yule anayeongoza kazi zote kwa kila mtu. 7 Roho Mtakatifu hudhihirishwa kwa kila mtu kwa faida ya wote.

8 Maana mtu mmoja hupewa neno la hekima na huyo Roho, na mwingine hupewa neno la ufahamu kutoka kwa Roho huyo huyo. 9 Mtu mwingine hupewa imani na huyo Roho na mwingine karama za kuponya. 10 Huyo huyo Roho humpa mwingine uwezo wa kufanya miujiza, mwingine unabii, mwingine uwezo wa kutofautisha kati ya roho mbalimbali, mwingine aina za lugha na mwingine uwezo wa kutafsiri lugha. 11 Lakini ni Roho huyo huyo mmoja anayefanya haya yote, naye hugawa karama kwa kila mtu, kama yeye mwenyewe apendavyo.
 
Kuna jamaa mmoja hapa jukwaan hujiita Malaria 2 ni jamaa ambaye anapenda kuanzisha thread za dini, na mara nyingi zikiwa za uchokozi, lengo kuu ni kuusifia uislamu(kitu ambacho sina shida nacho kabisa kwasababu kila mtu ana haki ya kusifia dini yake) na sometimes kuupondea ukristo(again, sina shida na yeye kuupondea ukristo kwasababu we're different individuals, tofauti za kifikra ni jambo la kawaida).
It's okay to have different opinions, but can you back them up?

But leo nime-interact nae kweny uzi aliyoanzisha Lini kutakuwa na Mashindano ya kusoma Biblia kama ilivyokuwa Quran?



I don't mind debates, a debate started one of the biggest country known as United States of America.
I love it when people start arguing about what is objectively True, that's when misunderstood topics and real lies emerges and are cleared, once and for all.

Broo Malaria 2 acha majibu ya kijinga, kwa jinsi ulivokuwa mstari wa mbele kuanzisha thread kama hizi za kichokozi nilidhani utakuwa mstari wa mbele kukubali, na hii itakuwa inafaida kwako kwasababu huwez jua maybe utanishinda na watu wakiona maybe utapata wafuasi watakabadili dini na mm nikiwemo, hutaki hio bahati??
 
Na bado mwarabu kawakamata na amewaaminisha kwamba mila na desturi vya kiarabu ndiyo dini.
 
Humu mnawajinga wengi kwa hivyo tumekutana wajinga
 
Lini Mashindano ya kusoma Biblia? kama ilivyokuwa Quran?

Au ni vigumu kuihifidhali?

Wadau wanaosoma biblia hebu watwambie.

Hichi kitabu kinahifadhika?
Hawa The Bus Driver.
Mabala the Farmer.
Things Fall Apart.
Three Suitors One Husband.
 
Huna ujualo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…