Lini kutakuwa na Mashindano ya kusoma Biblia kama ilivyokuwa Quran?

Lini kutakuwa na Mashindano ya kusoma Biblia kama ilivyokuwa Quran?

Binafsi ninaamini kuna nguvu kubwa inayotufanya tuwepo Dunia. Ila siamini dini hizi za kidunia ambazo kila kukicha ni malumbano ya juu ya ipi ni bora kuliko nyingine hadi mara nyingine kuleta machafuko.
Dini hizi mbili zimezifunga akili za watawaliwa hususani Nchi za Kiafrika na kuleta mpasuko na kuwafanya kuwa kituko hadi kwa wenye dini wenyewe yaani warumi na waarabu.

Sijui kwanini Waafrika tunashindwa kuelewa kuwa kipindi hicho tulikuwa na imani zetu na tulifanikiwa, wazee waliomba mvua na kupata papo hapo, maombi zao mengine yalijibiwa pia. Ukoloni ndio unatufanya tuzione dini zetu ni za kishezi na za wageni warumi na waarabu kuwa bora.

Dini hizi mbili zote zina mapungufu hakuna iliyo bora zaidi ya mwingine zote zimejikita kueneza tamaduni zao na kudidimiza matumaini ya watawaliwa kujitambua.
 
Lini Mashindano ya kusoma Biblia? kama ilivyokuwa Quran?

Au ni vigumu kuihifidhali?

Wadau wanaosoma biblia hebu watwambie.

Hichi kitabu kinahifadhika?
Kwani vile ilivyoandikwa haijahifadhiwa? Yaani uihamishe kutoka vitabuni na kuikariri vichwani kwamba huko ndiyo salama zaidi au?
Haijui kwamba iliandikwa vitabuni kwa lengo la kuhifadhiwa? Baada ya kuhifadhiwa, kinachifuata kuisoma ili kuiishi kea lengo la kujenga jamii yenye maelewano, amani, upendo na furaha.
 
Lini Mashindano ya kusoma Biblia? kama ilivyokuwa Quran?

Au ni vigumu kuihifidhali?

Wadau wanaosoma biblia hebu watwambie.

Hichi kitabu kinahifadhika?

Lini Mashindano ya kusoma Biblia? kama ilivyokuwa Quran?

Au ni vigumu kuihifidhali?

Wadau wanaosoma biblia hebu watwambie.

Hichi kitabu kinahifadhika?
Shetani kazini🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Attachments

  • 5787322-421114a1e751e0e7a207f5bbc0724875.mp4
    20.7 MB
Lini Mashindano ya kusoma Biblia? kama ilivyokuwa Quran?

Au ni vigumu kuihifidhali?

Wadau wanaosoma biblia hebu watwambie.

Hichi kitabu kinahifadhika?
Wakristo wanasema “Yesu Kristo Anaaminiwa hasomewi”, yaani hakuna mwananzuoni aliyebobea ktk kusomea ukristo na kristo anayeweza kusema ana ticket ya kwenda mbinguni kutokana na usomi wake. Ila kwa waislamu wao ni kusoma na kusoma msomi zaidi ndiye hupewa nafasi ya kuona pepo.
 
Mnafanya makosa kulazimisha kutoa milinganisho ya kiimani.Kwani,kila dini ikibaki na maono,imani na misimamo yake bila kuchungulia dirishani kwa majirani kuna shida gani?Upotofu mtupu!
 
Lini Mashindano ya kusoma Biblia? kama ilivyokuwa Quran?

Au ni vigumu kuihifidhali?

Wadau wanaosoma biblia hebu watwambie.

Hichi kitabu kinahifadhika?
Biblia ni maandiko matakatifu,

Ila hiko kitabu kingine ni simulizi iliyoandikwa kwa mtindo wa mashairi ndio maana inasomwa kama inaimbwa na ina mpaka vina loh

Sasa we jiulize una nyimbo ngapi umekariri mpaka sasa kichwa j, mi ninazo maelfu na ndio maana wao wamekariri hiko tu vingine aaah

PS: hiko kitabu kingine kina mabano kama yote ( hivi ule ufafanuzi pia mnaukariri)
 
Back
Top Bottom