Lini mara ya mwisho kumtamkia mzazi/mlezi wako nakupenda?

Hapo kwenye watoto wa kiume ndo mtihni. Kuna siku mwanagu (5) aliniandikia msg kupitia simu ya baba ake kua ananipenda ss sijui ilikuaje kweny kuchagua majina akaituma ile msg kwa bibi ake ambae ni mama mkwe wngu, mama akanipigia akaniambia mwanangu asante sn nimeona msg umenitumi kwa simu ya mumueo nikaguna nikamuuliza msg gan akasem ile uliosema unanipend maana nilivoon ile msg niliju fika ni wewe umetuma maana mwanae hajawahi kumuambia
Tujenge desturi ya kuwaambia wazazi tunawapenda
 
Yeah sijawahi kuzoeshwa hivo, kwahiyo siwezi tu kuibuka uzeeni nianze kumwambia nakupenda, ntazua taharuki πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Naona kueka emoji ya kucheka pekee haitoshi acha ncheke tena πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wallah taaruki lazima itokee kama mama mkwe alivonichek kunishukuru kwa kumtumia msg ya nampenda akati dogo ndo alikosea. Huku akisema najua kbisa mumeo hawezi tuma hii msg
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Nakupenda ya bahati mbaya
 
Mimi hata baby wangu huwa simtamkii neno "nakupenda"
(huwa natumia neno nakuelewa sana)
sembuse nikamwambie mzee wangu " et nakupenda mzee"

Tujikite kwenye matendo zaidi.
Hahahah mie mwenyewe nikiambiwa na mume napendwa namwambia hivi umeeka mambo yako ya urithi wangu vzuri maana design kama unataka kuvuta. Ye anasemaga jua unapendwa ila sio nakupenda
 
Aah hiyo inawezekana kwa mtoto wa kike ila sidhani kwa wanaume kama ni rahisi
 
How did you feel[emoji848][emoji848][emoji848]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yani umwambie babako nakupenda!? Hakika aspokupiga ngeu ni bahati.
 
Mimi hata baby wangu huwa simtamkii neno "nakupenda"
(huwa natumia neno nakuelewa sana)
sembuse nikamwambie mzee wangu " et nakupenda mzee"

Tujikite kwenye matendo zaidi.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] huyo "baby" ana shida saaaaana
 
Hii kitu inaanzia mbali, ilitakiwa wazazi watuzoeshe hivyo....labda ndio tuanze sisi kuwazoesha watoto wetu.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] acha nipanbane na huyu kwanza[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]
 
Hahahah mie mwenyewe nikiambiwa na mume napendwa namwambia hivi umeeka mambo yako ya urithi wangu vzuri maana design kama unataka kuvuta. Ye anasemaga jua unapendwa ila sio nakupenda
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji851][emoji851]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…