Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Kila tukio la kisiasa likitokea hapa nchini kwetu lazima mtalidandia na kulishupalia kana kwamba nyie mtanufaika nalo.
Mbaya zaidi mkidandia tukio mnasahau kabisa matatizo yenu na madhira yenu.
Sasa mnashindwa kuwa na uwezo wa kudadavua mambo ili mjue ni tukio gani linaweza kuwa na mashiko kama mkilidandia? Lini mtakuwa na akili hii?
Tukio la Ndugai kung'oka madarakani mlidandia na kupiga mayowe huku mkisahau matatizo yenu. Limepita huku mkiwa hamna lolote mlioambulia.
Juzi tu hapa mkasahaulishwa na tukio la Lissu kukutana na mkuu wa nchi.
Mnatia huruma sana.