Naunga mkono hoja,Kila tukio la kisiasa likitokea hapa nchini kwetu lazima mtalidandia na kulishupalia kana kwamba nyie mtanufaika nalo.
Mbaya zaidi mkidandia tukio mnasahau kabisa matatizo yenu na madhira yenu.
Sasa mnashindwa kuwa na uwezo wa kudadavua mambo ili mjue ni tukio gani linaweza kuwa na mashiko kama mkilidandia? Lini mtakuwa na akili hii?
Tukio la Ndugai kug'oka madarakani mlindandia na kupiga mayowe huku mkisahau matatizo yenu. Limepita huku mkiwa hamna lolote mlioambulia.
Juzi tu hapa mkasahauliswa na tukio la Lissu kukutana na mkuu wa nchi.
Mnatia huruma sana.
Naunga mkono hoja kuwa inaweza kubeba Rais pamoja na abiria wa Kawaida. Je hili limethibitishwa kuwa alipanda pamoja na abiria wa kawaida?Nimeona Wanasema Ndege imekodiwa hivi hamjui ndege ile inaweza kubeba Rais na waabiria wengine vizuri tu bila shida...
Kila tukio la kisiasa likitokea hapa nchini kwetu lazima mtalidandia na kulishupalia kana kwamba nyie mtanufaika nalo.
Mbaya zaidi mkidandia tukio mnasahau kabisa matatizo yenu na madhira yenu.
Sasa mnashindwa kuwa na uwezo wa kudadavua mambo ili mjue ni tukio gani linaweza kuwa na mashiko kama mkilidandia? Lini mtakuwa na akili hii?
Tukio la Ndugai kung'oka madarakani mlidandia na kupiga mayowe huku mkisahau matatizo yenu. Limepita huku mkiwa hamna lolote mlioambulia.
Juzi tu hapa mkasahaulishwa na tukio la Lissu kukutana na mkuu wa nchi.
Mnatia huruma sana.
Usijifanye kipofu.Wakati hao wengine wakidandia hayo matukio, nyie huwa mnakuwa wapi mkijadili nini? Mbona tunawaona mkishinda kwenye mijadala hii hii? Hebu tuonyesheni mijadala yenu mkiwa mnajadili, elimu, maji, miundombinu mbalimbali nk.
Lini utakuwa na akili ya kutofautisha ^madhila^ & ^madhira^?Lini mtakuwa na akili hii?
madhira
Akikujibu UNITAGI!Wakati hao wengine wakidandia hayo matukio, nyie huwa mnakuwa wapi mkijadili nini? Mbona tunawaona mkishinda kwenye mijadala hii hii? Hebu tuonyesheni mijadala yenu mkiwa mnajadili, elimu, maji, miundombinu mbalimbali nk.
Naunga mkono hoja,
Uchaguzi 2020 - Je, Tanzania tuna upinzani makini, upinzani wa kweli wa kuing'oa CCM madarakani au bado sana? Nilichoshuhudia leo uzinduzi CHADEMA, kiukweli...
Wanabodi, Kipenga cha kuanza kwa kampeni za Uchanguzi Mkuu ujao kimepulizwa leo na fungua dimba amekuwa Chadema. Nimeangalia kidogo kupitia live ya TBC, kiukweli nilichoshuhudia, ndicho kimenipelekea mimi kuanzisha huu uzi ambao ni swali. Je, Tanzania tuna upinzani wa kweli, upinzani makini...www.jamiiforums.com
P
Nyie ndiyo hao ambapo mnatafutwa na Mh. Polepole.Kila tukio la kisiasa likitokea hapa nchini kwetu lazima mtalidandia na kulishupalia kana kwamba nyie mtanufaika nalo.
Mbaya zaidi mkidandia tukio mnasahau kabisa matatizo yenu na madhira yenu.
Sasa mnashindwa kuwa na uwezo wa kudadavua mambo ili mjue ni tukio gani linaweza kuwa na mashiko kama mkilidandia? Lini mtakuwa na akili hii?
Tukio la Ndugai kung'oka madarakani mlidandia na kupiga mayowe huku mkisahau matatizo yenu. Limepita huku mkiwa hamna lolote mlioambulia.
Juzi tu hapa mkasahaulishwa na tukio la Lissu kukutana na mkuu wa nchi.
Mnatia huruma sana.
Usijifanye kipofu.
Huwa nakushangaa sana jamaa yangu. Acha kuwa mgumu kuelewa.Onyesha post yoyote uliyoanzisha ww na wenzako kuhusu matatizo ya umeme na suluhu yake, zaidi ya kuanika frustration zako kuhusu wafuasi wa cdm kutomsujudia yule kiongozi muovu, na genge lake haramu la ccm.