Lini mtakomaa kisiasa na kuwa na uwezo wa kudadavua mambo? Kila mara mnadandia matukio bila faida

Lione linavyokera na ID yako nyingine ya Kamanda Asiyechoka . Halafu unajiona mjanjaaa nakutuona sisi wajinga kama wewe.

Hovyooo
 
Kama hili jambo la rais kupanda Emirates wamelishupalia kana kwamba ni ajabu wasichojua ni kua rais kapanda kama abiria wengine wao wanadai kakodi.

Na angeenda na ndege binafsi pia wangesema.
 
Meya wa manispaa ya moshi anaunga mkono ushoga huko
 
Mleta mada ulitaka kusema nini? ljni utaacha tabia ya kukurupuka kama uharo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…