Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
- Thread starter
- #21
Mimi nilikuwa Yanga lia lia ila nimeikacha hii timu baada ya kuona inaendeshwa kiukoo!Cha ajabu anaumia shabiki wa kolo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nilikuwa Yanga lia lia ila nimeikacha hii timu baada ya kuona inaendeshwa kiukoo!Cha ajabu anaumia shabiki wa kolo.
Ulaya ipi wakati madukani mwangu tu siwezi kuiweka..nimepokea zaidi ya simu 30 kutoka kwa wateja wangu wakidai jezi za Yanga za msimu huu ni za ovyoIla hii nyeusi Mali sana nadhani iuzwe Ulaya na America pekee
Mkono wa mwanaume ni mmoja tu.Braza mkono mmoja ni kweli una mkono mmoja au ni jina TU!?
Hao si wateja nimateja...binafsi nsubiri tushonewe kaniki...mpira hauchezwi kwenye mavazi.Mimi ni mdau wa michezo na mfanyabiashara wa maduka ya vifaa vya michezo ila kwa hili siwezi kuweka mzigo wao madukani mwangu.
Mimi nimefikisha malalamiko niliyoyapata usiku wa jana kutoka kwa wateja wangu ambao wengi ni mashabiki wa Yanga
Vp bado upo kitambaa cheupe mpaka asubuhi hii?Hao si wateja nimateja...binafsi nsubiri tushonewe kaniki...mpira hauchezwi kwenye mavazi.
Nasubiri baa ifungwe niondoke na mhudumu wa kaunta ya juu! Na wewe Dj punguza sauti ya muzikiVp bado upo kitambaa cheupe mpaka asubuhi hii?
Mada sizungumzii mpira nazungumzia jezi bro! Nenda nyumbani,umelewa bro
Mbunifu wa vitenge vya wakina mama....CCM wampe tenda abuni mavazi ya chama chao. Huku kwenye jezi anatia aibu
Weka mzigo wa sanda utauza vizuriMimi ni mdau wa michezo na mfanyabiashara wa maduka ya vifaa vya michezo ila kwa hili siwezi kuweka mzigo wao madukani mwangu.
Mimi nimefikisha malalamiko niliyoyapata usiku wa jana kutoka kwa wateja wangu ambao wengi ni mashabiki wa Yanga
Mmeanza kutumia ranginyeuperangi yamnyama sio ,soon mtatumia nyekunduMtatafuta sana kuungaunga habari..!!
View attachment 3054602
Mlipotumia rangi ya jezi za AZAM mliona sawa.Mmeanza kutumia ranginyeuperangi yamnyama sio ,soon mtatumia nyekundu
Azam na coastal union ni ndugu zetu waleMlipotumia rangi ya jezi za AZAM mliona sawa.
Mwenzio Pius Msekwa aliombeshwa msamaha kwa maneno kama haya. UWT walimjia juu..!!Kitenge cha wakina mama
Ndiyo maana wote huwa tunawafunga, ili kuuimarisha undugu wenu..!!Azam na coastal union ni ndugu zetu wale
Salam.
Aisee nimekuwa nikimpa udhuru huyu designer wa jezi za Yanga kwa kudhani labda atajirekebisha katika siku za usoni ila wapi!
Jezi nzuri duniani ni zile ambazo hazina mambo mengi, ni plain na simple tu ila kwa huyu designer wa Yanga ni tofauti aisee. Kwake jezi lazima aweke vikatuni vingi mara majengo,vibwengo, madaraja,magari n.k ni wazi kuwa anapuyanga na kuharibu hii tasnia. Au labda hapo awali alikuwa ni designer wa kuprint logo za fulana "manga" zile za buku ten sasa kaona alete ushamba wake katika ubunifu wa jezi.
GSM mlipieni nauli huyu mbunifu wenu aende ulaya na America akakutane na wabunifu wakubwa wa jezi za klabu kubwa wamueleweshe jinsi jezi zinavyobuniwa kila msimu na jinsi gani zilivyo simpo.
Leo hii jezi ya Yanga haina tofauti na vitenge au batiki za kina mama.
Aibu .
Haiwezekani mtengenezewe vijora na sisi tusiongee. Nyie wenzetu eti.Cha ajabu anaumia shabiki wa kolo.