David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,894
- 6,020
Nenda katoe neno SANDA,hatuwezi kubishana na marehemu sisiHaiwezekani mtengenezewe vijora na sisi tusiongee. Nyie wenzetu eti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda katoe neno SANDA,hatuwezi kubishana na marehemu sisiHaiwezekani mtengenezewe vijora na sisi tusiongee. Nyie wenzetu eti.
Ulaya ipi wakati madukani mwangu tu siwezi kuiweka..nimepokea zaidi ya simu 30 kutoka kwa wateja wangu wakidai jezi za Yanga za msimu huu ni za ovyo
Na wanateseka hadi sio poa😂😂😂Sisi wenye timu yetu haitupi shida..mikia united ndo mnaumia...why?
Kwakuwa nyie mmewaiga kwa kukosa ubunifu, basi ndio mnaona ni SI unit kwa timu zote duniani!!Aangalie jezi za timu kubwa zipo vipi:
1. Real Madrid
2. Liverpool
3. Arsenal
4. Simba
5. Bayern Munich
6. Al Ahly
7. Al Nasri
8. Mamelodi
Apewe elimu kwamba home kit haitakiwi kutiwa mbwembwe nyingi. Hizo vurugu zinafanywa kwenye jezi ya ugenini. Mara ya kwanza nilidhan ni away kit kumbe ni home kit nilishangaa
Kwa mtoto wa kike kama wewe kuvaa kijora ni sawa hao utopolo wa kiume ndio tunatetea haki zao. 😁Kwakuwa nyie mmewaiga kwa kukosa ubunifu, basi ndio mnaona ni SI unit kwa timu zote duniani!!
Ndio jezi zetu sasa, na tunatamba nazo. Uzi mkaliiiiiiii.
Baaaaado hamjasema.
Wamewaomba muwatetee au mnaumia kwa visivyowahusu!! Uzi mkaliiiii, mtateseka sana.Kwa mtoto wa kike kama wewe kuvaa kijora ni sawa hao utopolo wa kiume ndio tunatetea haki zao. 😁
Ushauri: Jezi mpya za Yanga zivaliwe na Yanga Princess na si vinginevyo.
Usikariri dogo.Aangalie jezi za timu kubwa zipo vipi: