Lini Sheria Ngowi utaacha kuchora vikatuni na makorokoro katika jezi za Yanga? Jezi za Yanga ni mbaya balaa.

Mimi ni mdau wa michezo na mfanyabiashara wa maduka ya vifaa vya michezo ila kwa hili siwezi kuweka mzigo wao madukani mwangu.

Mimi nimefikisha malalamiko niliyoyapata usiku wa jana kutoka kwa wateja wangu ambao wengi ni mashabiki wa Yanga
Hao si wateja nimateja...binafsi nsubiri tushonewe kaniki...mpira hauchezwi kwenye mavazi.
 
Huyo jamaa anajua sana kweny mavazi ya maonyesho na kuvaa kweny show ila jezi hapana . Kuna taasisi moja ametumika ku'design t-shirt zao aisee zimekuwa mbaya kama vitenge halafu material mabaya .
 
Mimi ni mdau wa michezo na mfanyabiashara wa maduka ya vifaa vya michezo ila kwa hili siwezi kuweka mzigo wao madukani mwangu.

Mimi nimefikisha malalamiko niliyoyapata usiku wa jana kutoka kwa wateja wangu ambao wengi ni mashabiki wa Yanga
Weka mzigo wa sanda utauza vizuri
 
Attachments

  • 1722141321412.png
    748.4 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…