Lini Sheria Ngowi utaacha kuchora vikatuni na makorokoro katika jezi za Yanga? Jezi za Yanga ni mbaya balaa.

Kwakuwa nyie mmewaiga kwa kukosa ubunifu, basi ndio mnaona ni SI unit kwa timu zote duniani!!
Ndio jezi zetu sasa, na tunatamba nazo. Uzi mkaliiiiiiii.

Baaaaado hamjasema.
 
Kwakuwa nyie mmewaiga kwa kukosa ubunifu, basi ndio mnaona ni SI unit kwa timu zote duniani!!
Ndio jezi zetu sasa, na tunatamba nazo. Uzi mkaliiiiiiii.

Baaaaado hamjasema.
Kwa mtoto wa kike kama wewe kuvaa kijora ni sawa hao utopolo wa kiume ndio tunatetea haki zao. 😁

Ushauri: Jezi mpya za Yanga zivaliwe na Yanga Princess na si vinginevyo.
 
Kwa mtoto wa kike kama wewe kuvaa kijora ni sawa hao utopolo wa kiume ndio tunatetea haki zao. 😁

Ushauri: Jezi mpya za Yanga zivaliwe na Yanga Princess na si vinginevyo.
Wamewaomba muwatetee au mnaumia kwa visivyowahusu!! Uzi mkaliiiii, mtateseka sana.
 
kama chelsea tu wametoa boko,yanga ni wakina nani watoe jezi kali
 
Usikariri dogo.
 
Kila ukirukaruka sindano inazidi kupenya.
 
Hizo sheria za utengenezaji wa jezi zipo FIFA au CAF?, mbona hujamsema Sandaland kuwavalisha sanda?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…