Lini Wakenya watazinduka na kuitazama Tanzania kama kioo badala ya kuendelea kuiona kama adui?

Mbona langu unalikwepa Mkuu? Ni yapi Tz inapaswa kuiga toka Kenya? Usione haya wewe bainisha tu
Hilo ni jukumu lako wewe kubainisha maeneo ambayo unahisi kenya inafanya vizuri, then mimi nitayapitia na kukupa mrejesho wangu kwamba ni sawa ama hapana.
 
"Hey! Look at me! I am a GREAT person! Emulate me!"

These words are the most obvious symptoms of a weak underachiever with low self-

esteem and inferiority complex

"Hey! Look at me! I am a GREAT person! Emulate me!"

These words are the most obvious symptoms of a weak underachiever with low self-esteem and inferiority complex.
Raila Odinga, Mishy na baadhi ya viongozi wa Kenya waliposema tuwaige watanzania katika kikao cha BBI kumbe ndio wanaongoza kwa Inferiority complex?. Wewe unaonyesha jinsi ulivyo na wivu na inferiority complex zilivyopitiliza. Great mind never feels guilty to copy from successful people. Kenya must copy from Tanzania to Fight tribalism, corruption, crime, nepotism, food production and Land ownership policy
 
wakati mnavutana uku jamii forum..uku twitter watanzania wanatamani sana kenya..wamekubali kenya imeendelea sana..

 
Najua kizungu ningumu kwako. Soma polepooole utaelewa.
 
Tatizo hawa jamaa hawawezi kujifunza hadi wafikwe na matatizo, walitupinga sana kipindi tunapambana na Corona, sasa hivi vichwa vipo chini hawawezi hata kututazama machoni.
Tanzania hakuna cha kujivunia kuhusu corona.Tanzania iliachwa wa kufa afe, Kenya ilijaribu kutumia mbinu ghali za kulinda raia ila bahati mbaya hazikufanikiwa.
 
jeshi na vyombo dhaifu vya usalama; kenya drinking force - kdf
 
Tanzania hakuna cha kujivunia kuhusu corona.Tanzania iliachwa wa kufa afe, Kenya ilijaribu kutumia mbinu ghali za kulinda raia ila bahati mbaya hazikufanikiwa.
ndiyo moja ya upumbavu wa wakenya, kila kitu ni kuiga na kutafuta sifa za kijinga huku mkipoteza
 
Kenya kuna uhuru wa wana habari ndio maana huwa mnapata ripoti zote kikamilifu, sisi kama nchi tumekomaa zaidi kwa kila njia.
Huenda maafa mengi yalitokea huko tz na kwa sababu ya ushamba wa serikali yenu na wa tz wote kwa jumla huwa mambo kama haya mnayaficha na chombo chochote cha habari kitakacho thubutu kueneza habari hizo huwa kina vamiwa na kusumbuliwa.
Iweje karne kama hii eti baada ya uchaguzi, wapinzani wote wanadai ya kuwa maisha yao yamo hatarini na kuenda kujificha nchi jirani na wengine katika balozi za ujerumani..aibu sana ..hii inaonyesha jinsi tanzania mko nyuma sana kiakili kimawazo na kidemokrasia.
kenya wapinzani na vyombo vya habari wa uhuru na ndio kwa maana tumefika kiwango cha korti kutanga marejeo ya kura za urais... nyinyi tz mtafika huku lini ???????????
 
Wapinzani wakisumbuliwa, kura loonies, na vyombo vya habari vikisumbuliwa Tanzania, hizo habari mnazipata vizuri Sana, habari mbaya za Tanzania zote mnazisikia vizuri, hizo hazifichwi, ila zile habari zingile ndio zinafichwa?.

Kwa akili yako ni kwamba Tanzania kuna ukabila, njaa, crime, police killings, post election killings, slums, ila havitangazwi kwasababu serikali inaficha?.

Uhuru gani wa kujieleza Kenya mpo nao wakati mtu akijieleza anauliwa au anafukuzwa nchini, Tundu Lissu amekimbia kwa kuhofia usalama wake wakati Miguna Miguna amefurushwa na serikali ya Kenya, huo Uhuru mlionao upo wapi?.

Jacab Jumwa, Chris Msendo na viongozi wa dini wameendelewa kuuliwa kutokana na misimamo yao ya kisiasa huko Kenya, taja kama kuna kiongozi hata mmoja wa dini aliyeuliwa Tanzania kutokana na siasa.

Kenya ni very primitive Society haina uhuru wowote, nchi inaongozwa ki mafia, serikali inaongoza magenge ya wauaji huko pwani kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi. Kenya ni failed state
 


Ni Bangi ya Naivasha na Kariobangi.
 
tuachane nao, sisi tuendelee kupiga kazi, watajakumbuka shuka kukiwa kumepambazuka!hahahahaha
 
kenya ni zaidi ya taifa la kihuni, kwa JPM watakula kinyesi sasa tupo kikazi zaidi!
 
my friend mie nishaishi tz kwa mwezi mzima na kwa kusema kweli mko nyuma, habari hizi za watu mashuhuri maisha yao kuwa hatarini huwa tunayapata kwenye mitandao ambayo ni ya kujificha ficha tuu, lakini huwezi sikia ikitangazwa na mashirika ya kiserikali au kampuni zilizosajiliwa kikamili...tazama mimi ninavoweza kuandika kiswahili sanifu kadri ya uwezo wangu napia tukiingia kiingereza nimebobea vivyo hivyo, But for a tz you can only communicate in swahili and thats it...yaani nyie wapumbavu saana aisee
 
Wewe ndio hujui Kiswahili ndio sababu huwezi kuelewa kinachozungumzwa hapa JF, rudi shule kajifunze Kiswahili wacha kutuletea Gikuyu language hapa
Umejibu hoja niliyoandika kwa kizungu bradhee. Alafu you are famous on this forum for misunderstanding things typed in English so inaeleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…