Lini Wananchi walishirikishwa kukabidhi chuo cha TANESCO kwa Waislam?

Babu yako Nyerere alicheza ngoma baada ya waislam kutaka kujenga university pale chang'ombe,akatumia Dola kuvunja taasisi,lini wananchi walishirikishwa serikali kuingia mou na kutoa bilioni 36 kila mwezi kuzipa hospital za kanisa!?..hatutaki hazina kuwa kibubu Cha kanisa, mkataba uvunjwe
 
Mkataba ni mbovu kweli kweli lakini chuo chetu Tanesco Morogoro ni vyema kikarejeshwa.
Zirejeshwe kwanza pesa zote ambazo kanisa limekua likipewa Kisha utaratibu huo ufutwe,halafu ndiyo kirejeshwe chuo Cha tanesco
 

[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mkataba ni mbovu kweli kweli lakini chuo chetu Tanesco Morogoro ni vyema kikarejeshwa.
Mbona kuna jamaa humu aliwahi kusema eti hicho chuo kilikuwa ni cha kwao, kabla ya kutaifishwa na serikali ya awamu ya kwanza!!!!
Ukweli ni upi katika hili?

Maana na sisi Wakatoliki tukisema tudai mali zetu zote zilizotaifishwa kipindi hicho, na hata sasa zinawanufausha Watanzania wote! Na pasipo kujali dini zao; nadhani patachimbika
 
Sgr mkataba wake wa riba 2% ulikuwepo,magu akavunja akaingiza wa riba 10%..so inajulikana sababu ni nini!?..halafu 'mtakatifu' gani angenyanyua Domo lake la kunywea pombe mbele ya magu!?
 
Kuna ile Kampuni ya Misri nayo ilipewa zabuni ya kujenga Bwawa la umeme la Julius Nyerere (Stiglers Gorge). Na wala hatukulalamika kwa nini wamepewa Waislam wa Misri!

Ila kwenye hili sakata la bandari, naona baadhi ya ndugu zetu Wailam, wameamua kwa makusudi kabisa kukengeuka.
 
Pumbavu kabisa kumbe mmekubali kuwa mmehongwa....
 
Ritz
 
Mpo tayari kurudisha vyuo na shule vilivyotaifishwa na mwalimu kutoka kanisa katoliki ili angalau kobaz nao wapate elimu ya mzungu?
Mpo tayari kurudisha ocean road hospital na ikulu zirudi kuwa madrasa!?..kitaifisha shule ilikua danganya toto ya kudhibiti waislam wasiwe na elimu ili wakachujwe shule za serikali
 
Naona mada zimekua za kidini tu siku hizi, kwa kifupi mkataba wa bandari ni mbovu na haubebeki, Kuna upande walipozidiwa hoja na wakaja kujificha kwenye dini........
Nimeamka asubuhi nakutana na mada ya mjinga mmoja ikiongelea MoU ya hospitali za Kanisa.
Nikajua huyu mpuuzi hajui madhara ya ujinga wake. Kwa hiyo endeleeni kusikiliza Wapuuzi wote watakaojitokeza.
 
Zirejeshwe kwanza pesa zote ambazo kanisa limekua likipewa Kisha utaratibu huo ufutwe,halafu ndiyo kirejeshwe chuo Cha tanesco
Hivi ikitokea hicho chuo (ambacho kiko mahututi mpaka muda huu naandika hapa) kikarejeshwa kwa hao Tanesco! Hivi mtakuwa na chuo kingine kweli?

Maana mna chuo kimoja tu, lakini bado kinawatoa kamasi kwenye uendeshaji wake.
 
Wao wamejikita kujenga misikiti tupu
 
Kampuni ya Masri ndio hiyo Arab Contractors nimeitaja hapo.

Hatujawahi kuleta udini wala kuhoji, leo tunahoji mkataba wa kipumbavu uliojaa rushwa kuna mazezeta yanajificha kwenye dini.

Stupid. ( in Samia voice)
 
Jengeni hospitali na nyie hakuna shida(Bugando, Haydom, KCMC, Seliani n.k)itawachukua miaka 100 kufika hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…