Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninavyowafahamu hao siyo watu wa hovyo.Rudia tena kuwakumbusha.Aliyeachwa kwenye Cash Point anaweza kuwa changamoto.Sifahamu mkuu
Saad30 et Mrembo Farida.. nikurushie 200k utaipokea?Hebu mrushie 200k chap
Mawakala wanajuaga kunakuaga usumbufu wa watu kama hawa,ukimuuliza NITAJIE NAMBA YA WAKALA,anakuuliza ya mtandao Gani,ukimjibu,anakwambia ANGALIA hiyo hapo,na huwa zimeandikwa na MAJINA kabisa.Yote hii ni wakala kukwepa maswali ya baada muamala kufanyika.pole ila next time unahakiki jina kwanza mkuu,ikiwezekana unamuuliza muhudumu jina ndio hilo kisha unathibitisha kutoa mshiko.150k usawa huu ni pesa ndefu.
Lipa namba nyingine lakiniSaad30 et Mrembo Farida.. nikurushie 200k utaipokea?
Mkuu ingekuwa ni ustarabu angerudisha wakati ule pesa ilipoingia katika simu yake. Au angepiga simu.Hiyo kesi ngumu,Sasa polisi utawaambiaje ?akisema mlikua mnadaiana,je?Kaushia tu hiyo maana kibao kinaweza kukugeukia sababu njia kwanza uliotimia kudai si sahihi ni udhalilishaji.ohoo utaumia tafuta nyingine tu
Yeah bila shaka ni ndugu wa damu.Majina mawili ya mwisho yanafanana na dada wa sheria, utapata meku
Hawa wameshindwa asee wamesema niwasiliane Na Tigo.ingia humuhumu au search hapo juu vodacom wapo humu na nyuzi au au msaada wa haraka andika hii namba chat kwa njia ya Watsapp 0754 100 100
👆Watu wawe makini katika kufanya miamala.
Maana ya lipa number ukilipa hela kurudi ni ngumu mkuu ....lipa number iliwekwa kwa sababu zamani mtu anakuja shop ananunua kisha anasema analipa simu ....una mpa mzigo akifika mtaa wa pili anapiga simu huduma kwa wateja kuwa kakosea muamala hela inarudishwa....SALAM MKUU.
Boss wa Lipa namba ya mtandao wa Vodacom 5757565 ARVINDER HAZARA CHANNA.
Tarehe 28 mwezi wa Jana yaani mwezi wa 3 ulipokea pesa kimakosa kutoka kwenye namba ya mtandao wa Tigo 0712**5408 Jina lilikuja ni Farida Hilary.
Nimetoa taarifa katika Mitandao yote Tigo na Vodacom lakini majibu ni usumbufu. Kwahiyo mkuu kiubinadamu naomba hiyo pesa shilingi LAKI MOJA NA ELFU ISHIRINI (120000).
Kwamba Mimi ni mwizi?Jiheshime kijana