Lipa namba ya VODACOM 5757565 rudisha pesa yangu

Sidhani kama pesa yako itarudishwa. Sept 17, 2023 nilikosea nikalipa 169,000 kwa lipa namba ya voda kutoka namba yangu ya Airtel, mpaka leo hii pesa haijarudi pamoja na juhudi zote za kuwapigia Airtel na kufika kwenye duka lao
 
Kukosea kupo tu mkuu
 
Mkuu hii ni 2024 wacha tuone.

Msaada wao utaishia wapi Ila naamini wanalifanyia kazi.

Ulikuwa Na mambo mengi zaidi ya hiyo pesa
 
Sidhani kama pesa yako itarudishwa. Sept 17, 2023 nilikosea nikalipa 169,000 kwa lipa namba ya voda kutoka namba yangu ya Airtel, mpaka leo hii pesa haijarudi pamoja na juhudi zote za kuwapigia Airtel na kufika kwenye duka lao
wanarudisha ndugu hukuambiwa uweke alama za vidole kuzuia huo mumala ulipofika duka la airtel
 
mnajuana sio
Hatujuani wala kufahamiana mkuu.

Lakini naamini yupo sababu huu ni mtandao pendwa sana kwa mtu ambaye anapenda kujifunza mambo mbalimbali pamoja na kupata ushauri.

Atakuwepo.. Jamii forum ni jukwaa pana.
 
Sidhani kama pesa yako itarudishwa. Sept 17, 2023 nilikosea nikalipa 169,000 kwa lipa namba ya voda kutoka namba yangu ya Airtel, mpaka leo hii pesa haijarudi pamoja na juhudi zote za kuwapigia Airtel na kufika kwenye duka lao
kwani hapo ulipo na sumbawanga ni mbali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…