Kupata kwako ni mpaka mwenye lipa namba athibitishe kwa huduma kwa wateja kuwa hayatambui malipo.Mimi mwenyewe nimepigwa sarakasi hapa nimekubali pesa imepotea hawana msaada
Mkuu pesa imerudishwa na nilileta mrejesho hapaHii pesa hautaipata kamweee samehee tu..ungeipata kama ungetoa lipa voda kwa voda ila ikiwa mtandao tofauti utapigishwa sarakasi hapo mpaka utakata tamaa.nafanya hii huduma watu wengi naona inakula kwao
Nilifuatilia kuwapigia several times kila baada ya siku mbili pesa ndio imerudishwa muda huu..Hujafatilia Kwa kina lakini pesa yako wanairudisha fresh tu
SALAM MKUU.
Boss wa Lipa namba ya mtandao wa Vodacom 5757565 ARVINDER HAZARA CHANNA.
Tarehe 28 mwezi wa Jana yaani mwezi wa 3 ulipokea pesa kimakosa kutoka kwenye namba ya mtandao wa Tigo 0712**5408 Jina lilikuja ni Farida Hilary.
Nimetoa taarifa katika Mitandao yote Tigo na Vodacom lakini majibu ni usumbufu. Kwahiyo mkuu kiubinadamu naomba hiyo pesa shilingi LAKI MOJA NA ELFU ISHIRINI (120000).