Tetesi: Lipumba kaingia ofisini saa 4 usiku huu,inasemekana atalala hapohapo

Huyu jamaa hajajiunga na kikundi fulani cha waigizaji? isijekuwa hiyo ni scene, wengine wamejikuta wanafanywa cast bila kupenda? maana siamini kama ni mambo ya kweli kabisa yanafanyika
Huyo ndio profesa wa futuhi
 
Nimemsikia Just akisema makao makuu ya CUF yako Zanzibar. Kama ni kweli mbona Lipumba anang'ang'ana na ofisi ndogo Buguruni!?
 
Duh kumi ndio political base ya professor? Bwana asifiwe. Amen.
 
Nyerere aliwahi kusema hivi "dhambi ya usaliti ukiifanya huwa haikuachi salama lazima itakutafuna tuu" sasa yanatimia RIP baba wa taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…