Uchaguzi 2020 Lipumba, Shibuda kutumika kumdhibiti Lissu asigombee Urais?

Narudia tena, watanzania tunakaribia 60m. Iwapo wapiga kura ni 29m+, hiyo ni nusu kabisa ya watanzania wote. Inawezekana vipi nusu ya watanzania wote wakawa na miaka 18+? Halafu kibaya zaidi watu wote wenye miaka 18+ wakawa wamejiandikisha kupiga kura! Hivi kuna wajinga wa kupewa idadi ya hiyo bado dunia hii? Kisha tuamini matokeo yatakayotangazwa na tume yenye idadi ya wapiga kura wa uongo?
 
Chama kimekaa mda mrefu hakuna muujiza kitafanya kututoa hapa tulipo kwama tangu vita ya kagera ishe.
 
sijakuelewa na sitaki kukuelewa kwakuwa una viashiria vya upumbavu, hebu tulia tusiambukizane uzwazwa plz

Mkuu hivi unadhani kuwa kuna popote nimeandika ili ww uelewa, hapa nimeandika ukweli ndio maana iko hapa jukwaani. Ningetaka uelewe ww tu ningekuandikia barua.
 
Wewe zwazwa watu wakiamua hao mgambo watafanya nini
acha kuongelea watu jiongelee wewe, alafu jiulize mimi na wewe nani zwazwa, au kisa natembea na shangazi yako aliyefanana na Baba yako??
 
si mliona raha kusindikizwa na polisi kila mkoa,

Hakuna aliyeona raha, bali tulishangaa polisi toka lini wakaanza kutimiza wajibu wao kwa mujibu wa sheria dhidi ya wapinzani wa ukweli? Tuone raha kwani walichofanya polisi ni hisani?
 
acha kuongelea watu jiongelee wewe, alafu jiulize mimi na wewe nani zwazwa, au kisa natembea na shangazi yako aliyefanana na Baba yako??

Uwe zwazwa mara mbili, kama hujui hata matumizi ya herufi kubwa na ndogo wapi zikae, unataka uzwazwa gani zaidi ya huo?
 
Hakuna aliyeona raha, bali tulishangaa polisi toka lini wakaanza kutimiza wajibu wao kwa mujibu wa sheria dhidi ya wapinzani wa ukweli? Tuone raha kwani walichofanya polisi ni hisani?
ndio ni hisani ya kuwahujumu
 
Lisu akikatwa tutaendelea na Uchaguzi bila dosari yeyote .
 
Uwe zwazwa mara mbili, kama hujui hata matumizi ya herufi kubwa na ndogo wapi zikae, unataka uzwazwa gani zaidi ya huo?
naona kiburi kimekujaa poa nitamfikishia taarifa Shangazi YAKO
 
Anza kumwekea magufuli pingamizi aliyeanza kampeni tokea mwaka 2016 akigawa pesa na juzi kanunua jogoo Rufiji kwa laki moja huku akimtafutia mama yake mzazi mchumba, Lugha gani ya matusi zaidi ya lugha ya kuwatukana wabunge madiwani wa chadema, Wa Amterdam watawafikisha mahakamani kwa kumpiga risasi na unyanyasaji uonevu mwingi mliowafanyia wapinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…