Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,540
Bwana William,
Lipumba, Dr. Slaa, Mzee Mwanakijiji, Rev. Kishoka, Mkandara, Kiranga, Masanilo, JMushi, Balantanda, Azimio Jipya, BCS, JF, Wanabudii, Zanzinet na kila sehemu ya mkusanyiko wetu, we are talking the same thing the "Lisa M. Rockefeller" stated.
Sasa iweje leo yeye azungumze lile lile tunalosema udai ni upuuzi? Je habari hiyo hiyo kutangazwa na mwingine ni upuuzi? Je tulipokuwa tukiizungumzia sisi nayo kumbe ilikuwa ni upuuzi au sisi ni wakoloni wa ndani tupuuzwe?

- Siwezi kujadili hoja ya Mkoloni kunifundisha nani ananifaa kwua Rais wangu na hasa mkoloni ambaye ni proven mwizi huko kwao Ulaya.
William.
Bwana William,
Lipumba, Dr. Slaa, Mzee Mwanakijiji, Rev. Kishoka, Mkandara, Kiranga, Masanilo, JMushi, Balantanda, Azimio Jipya, BCS, JF, Wanabudii, Zanzinet na kila sehemu ya mkusanyiko wetu, we are talking the same thing the "Lisa M. Rockefeller" stated.
Sasa iweje leo yeye azungumze lile lile tunalosema udai ni upuuzi? Je habari hiyo hiyo kutangazwa na mwingine ni upuuzi? Je tulipokuwa tukiizungumzia sisi nayo kumbe ilikuwa ni upuuzi au sisi ni wakoloni wa ndani tupuuzwe?
Haya ni mawazo ya Kizamani kabisa ambayo watu kama Robert Mugabe ama baba yake william ndio wangepaswa kuyaongelea, huu ni ulimwengu wa utandawazi, sio kila mzungu unayemwona ni mkoloni, haya ni mawazo ya kitumwa, hata hivyo kwa nini umhukumu huyu binti kwa makosa ambayo alifanya baba yake, tena zamani hasa.
Kuna kitu kimoja watu hawajui, hawa watoto wa mafisadi ni wajinga wa mwisho kabisa, hawajui kitu chochote halisi kuhusu maisha ya mtanzania, sababu wao wanaishi katika mahekalu yao , wanasoma ulaya kwenye elimu wanayoiita ya mkoloni na mambo mengine ambayo mwananchi kama mimi siwezi kupata, hivyo huyu jamaa sidhani kama ana lolote la maana analoongea hapa zaidi ya kuwaita wazungu wakoloni huku akisahau bado hapa kwetu tuna wakoloni waliovaa ngozi nyeusi, halafu unajiita Great thinker????? kwa kipi hasa . :A S-baby:

This message is hidden because W. J. Malecela is on your ignore list.
Shomari;
Kama umenifungua jambo kubwa hapa...
Na inanifanya nisichukue muda mwingi kuendelea kujadiliana na huyu Bwana !
Ni Kweli kabisa inawezekana ..haujui kabisa ulimwengu wa kweli wa Mtanzania wa Kawaida!![/SIZE]
Na pia inawezekana huyu Bwana anatumia hili jukwaa kutafutia umaarufu mrahisi kwa kupinga kila ukweli na jina lake kujitokeza kila page..! ...ataonwa kwa jina lake kamili na atafikiriwa wakuu!
Vinginevyo kwanini iwe hivyo?
Mchungaji nakubaliana na wewe kabsia..again inabidi sasa Mkwere and his team watuambie hizi pesa wanazopewa na wawekezaji wanazitumiaje..
Mkuu william awakti mwingine kuna haja ya kuhoji na haya na tusisubiri hawa wawekezaji waje waseme juu yetu..afta all we have been speaking about this sh*t for so long..and you know..
come on willie..lets be realistic huyu mzungu kaongea ukweli na kawachana mbaya..
- Mkuu unasema maneno mengi sana ambayo hayana anything to do na this topic, ninachosema ni simply kwamba mzungu akajali mambo ya viongozi wa taifa lake, taifa langu Tanzania aniachie mimi mwananchi wa Tanzania ndiye ninayeyajua mbona ninaongea kiswahili tu jamani!

Ngugu Yangu WILLIUM
Salaam
Kwanza nikupe pole kwani inahitaji ujasiri wa hali ya juu kutetea unalolitetea hapa,very soon utawala wenu utakuwa historia,,Jifunze yaliyotokea MTERA
Bwana William,
Una hakika wa ulichosema? Maana ukisoma maandiko yangu mengi humu yamekuwa ni kumpinga Kikwete an CCM an kutaka Watanzania wamchague mtu mwingne. Ukisoma huo "upuuzi" wa huyu "lisa" utakuta anaongelea kile kile cha udhaifu wa Kikwete kitu ambacho tunakizungumzia kwenye haya majukwaa tangu tukiwa BCS.
Then what is a difference? kisa yeye Mzungu? Common bwana Upiganaji hauna mipaka, rangi, kabila wala dini!