William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Kama Umeshindwa Kuelewa Logic ndogo ya Sikonge basi hili ni Tatizo Lingine
- Sikonge amenielewa na amesema pale juu rudi usome tena, that is all what counts!
William.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Umeshindwa Kuelewa Logic ndogo ya Sikonge basi hili ni Tatizo Lingine
Bila kusahau mradi wa kazi majuu?
Sasa Tulipigana au Tulienda kuomba? Kweli tunauwezo wakupigana na Mwingereza?
NA WALIKATAA KWASABABU WALIKUWA WANAONA BADO HATUNA UWEZO JUKUMU AMBALO WALIPEWA WALISIMAMIE NDIO MAANA PAMOJA NA UHURU BADO WALIENDELEA KUWEPO KUTUSAIDIA KUONGOZA NA IKAPELEKEA KUWA NA VIONGOZI VIJANA, MAFANO SALMIN A. SALIM, HII NI KWA SABABU TULIKUWA BADO! ILA KIHEREHERE CHETU!!!!!
- Sikonge amenielewa na amesema pale juu rudi usome tena, that is all what counts!
William.
- Ninachosema mimi ni kwamba seria nzima ilisababishwa na Monopoly za Standard Oil, hasa walipoanza bishara za ngano mpaka kwenye usafiri wa treni, ndio serikali ikaamua kuweka hiyo sheria simply kwa sababu ya Standard Oil, sasa sina uhakika na unachosema hapa unasema nini bro?
William.

'Great thinking' yako imethibitishwa na nani? ni swali tu.- Well people, naomba ku-retire now., kama mnaniruhusu maana naona hamna la zaidi au nitaruid baadye kama bado kuna maswali on my Great Thinking!
William.
Lisa M Rockefeller President kikwete's henchmen have demostrated their stupidity by rejecting my critical opinion. Will send a request to State Department Tanzania Desk to block all foreign aid to this country and for aother NGO's to block funding. How dare his assistants to insult me? I love Tanzania and feel for the people, but not this corrupt regime
Bua ha ha ha ha..Usiseme Mradi wa Kazi Majuu, sema Mradi wa Kazi kwa Mkoloni ha ha ha
'Great thinking' yako imethibitishwa na nani? ni swali tu.
Lisa M Rockefeller President kikwete's henchmen have demostrated their stupidity by rejecting my critical opinion. Will send a request to State Department Tanzania Desk to block all foreign aid to this country and for another NGO's to block funding. How dare his assistants to insult me? I love Tanzania and feel for the people, but not this corrupt regime
- Siwezi kujadili hoja ya Mkoloni kunifundisha nani ananifaa kwua Rais wangu na hasa mkoloni ambaye ni proven mwizi huko kwao Ulaya.
William.
- Hapa ninajadili hoja ya Mzungu kuingil;ia mambo ya ndani ya taifa langu, ninasema hapana ajali mambo ya taifa lake kwanza ya taifa langu hayamuhusu!
William.
- Well mtizamo wangu ni kwamba mambo ya vyama vya siasa of nani anafaa kugombea na nani hafai hayahusu taifa, as long wanatimiza mujibu wa katiba zao, tatizo la taifa letu ni kutoheshimu sheria na hili ni kwa wote kuanzia wananchi mpaka viongozi wetu na ni toka tupate uhuru tumekuwa hivi, only respect kwa the rule of law ndio itatutoa kwenye matatizo tuliyomo kwa maoni yangu, na hii it has nothing to do na viongozi, maana taifa letu ni bigger than hawa viongozi wa kupita.
William.
- Well people, naomba ku-retire now., kama mnaniruhusu maana naona hamna la zaidi au nitaruid baadye kama bado kuna maswali on my Great Thinking!
William.
Mkuu, wanasema mtu muongo na mnafiki hawezi kuficha yaliyo nafsini mwake..its the matter of time tu kabla hajaonesha sura yake kamili.mie nimemuuliza swali rahisi tu kama anaona kikwete anafaa au hafai kutuongoza kaniambia nifungue thread ya swali hilo kwake lol.
Mkuu, wanasema mtu muongo na mnafiki hawezi kuficha yaliyo nafsini mwake..its the matter of time tu kabla hajaonesha sura yake kamili.