Elections 2010 Lisa M Rockerffeller urge Tanzanians to reject Kikwete a 2nd Term

Elections 2010 Lisa M Rockerffeller urge Tanzanians to reject Kikwete a 2nd Term

Status
Not open for further replies.
Ami USA ni wajinga wakati JK kila baada ya miezi 6 anaendaga kuhemea uko huoni kuwa unamtukana pia na raisi anayeenda kwa hao wajinga?
 
W. J Malecela, there are two things. There is "what is said" and "who said it" (i.e. the speaker). If "what is said" can stand on its own merit then you need to consider "what is said" regardless of the speaker. The statement, "Murdering is bad", is true even if it was uttered by Satan himself. In my opinion what was said by Ms. Rockerfeller is true and stands on its own merit. "Who she is" has no bearing on whether "what she said" is true or not! Furthermore, all human beings are entitled to have an opinion about any subject and they should be able to express that opinion freely.

Haka ka point kako ka "...ajali mambo ya uongozi wa taifa lake..." kana maana gani? Are you trying to say that it is impossible for her to have an opinion about CCM and the election in Harlem at the same time? Naomba ufafanuzi. Akikujibu kuwa she was also against the election of the so called corrupt leader in Harlem utajibu nini? You need to seriously examine cerezo's advice to you. I recommend you read books about ancient Greek philosophers.

Mr. Malecela, after reading your comments in their entirety I'm left dumbfounded! You don't make sense at all. Jesus Christ man! Are you really serious? I'm curious to know about your level of education and where you were educated. I'm concerned here because kama wewe ni akina Malecela and with the way things are going on in Tanzania with wazee wa CCM kurithisha watoto wao si ajabu ukaja kutuongoza. Hilo litakuwa ni janga kwetu kama upeo wako wa kufikiri ndio huo. Ninaomba ujibu my earlier post hapo juu. I'm interested in your opinion about my "what is said" vs "who said it" argument. Ahsante
 
Wazungu hao hao ndio wanasupport govt ya baba yako miaka na miaka.
Najua unaenjoy matunda ya Uhuru na dada yako pia huko state,naomba umwambie arudi kutibu macho wagogo huko mvumi,maana taxpayers wa Tanzania waligharamikia elimu zenu.

You are real stupid,kumpinga huyo Lisa,eti kwa kuwa ni mzungu.
Najua nyie watoto wa elites wa CCM,mtatetea status quo mpaka kufa,lakini wananchi wanaanza kuelewa what is going on.

Najua unaenjoy matunda ya ufisadi wa CCM,hata msanii wetu akiwa hapo DC,naona huwa mnajumuika pamoja watoto wa status quo.

Umefikia wapi kuanzisha tawi la CCM hapo DC na aliyekuwa balozi wa CCM London,Maajar
?


- Mkuu umenichekesha sana hata kujibu ninashindwa maana nimezidiwa na macheko! sioni masilahi ya taifa kabisaa zaidi ya maneno niliyoyazoe toka utotoni, ha! ha! ha! ha! by the way ninaishi New York, sio DC!

William.
 
Mkuu mbona unaji-contradict mwenyewe. Unasema wazungu watuachie mambo yetu wenyewe, vema na kweli. Lakini fahamu kuwa huyo Rais wako unayemtetea hapa, kila siku anakimbia kwenda kwa hao hao wazugu unaowapinga hapa--kuwabusu miguu ili walisaidie taifa letu. Hivi unajua kuwa sehemu kubwa ya bajeti ya taifa leu inategemea misaada ya hao wazungu unaowaita wakoloni? Ni kwa kigezo gani basi useme,"mzungu Lisa, tuachie mambo ya taifa letu," lakini hutoi tamko kama hilo kwa wazungu wengine kama Paul Wolfowitz na Robert Zoellick? Na kuhusu tuhuma zako za Harlem, I think hukumuelewa Lisa vizuri kuhusu alichokuwa anakiongelea/zungumzia. Point aliyokuwa ana-make ni kwamba Rais Kikwete ana uwezo duni wa kupambanua mambo; hivyo hafai kuiongoza nchi kama Tanzania yenye wasomi lukuki wenye wepesi wa kutambua/chambua mambo ya kidunia. And you can't just equate member of congress wa huko Harlem na Rais wa nchi. Rais wa nchi ana madaraka makubwa mno (especially kwa nchi kama Tanzania). Plus, huyo Charles Rangel wa Harlem unayemtaja hapa, hakuiba pesa ya mtu ikilinganishwa na ilivyo kwa hawa mafisadi wa CCM walioiba mabilioni ya shillings za walalahoi. Rangel kwa upande mwingine, anashitakiwa kwa kukiuka kanuni za House pamoja na kushindwa kuripoti income ya nyumba yake ya vacation iliyoko huko Dominican Republic. In fact, inasadikiwa kuwa mengi ya mashitaka hayo hayana ushahidi wa kutosha. So please acha kudanganya watu.

- Rais amechaguliwa tayari huenda hafai kwako, ila anafaa kwa wananchi 61% waliomchagua na ni sawa kwa Demokrasia, kuhusu Rangel sidhani kama uneelewa vizuri mashitaka yake kwamba in many cases hakulipa kodi, huo unaitwa ni wizi, US hakuna sheria ya kumbana kiongozi kwa sababu hakusema kwamba ana nyumba, mengine kufikiri just for a minute kabla hujaandika hapa!

William.
 
Ikiwa wewe ni omba omba, mtu amekusaidia several times na kila siku anakukuta bado uko pale Jangwani unaendelea kuomba, jioni unakunywa pombe na kustarehe kama tajiri.Kwanini asiamue kuingilia uhuru wako na kukurudisha kwenu.

Mfano mzuri wa hili ni yule Matonya, kwanini Makamba aliamua kumrudisha Dodoma.
Lisa ana kila haki ya kushauri kwani kamsaidia sana Matonya na haoni kwamba kuna nafuu na usiku Matonya anatesa na bado yuko Dar watoto wako Dodoma na hali ngumu. Kama tuliona Makamba alifanya sawa kwa Matonya iweje leo William ulalamike kwa Lisa?

Au kwa sababu Mzungu? Je mlikataa msaada wake kwakuwa yeye Mzungu au Mkoloni? Hamkujua hilo mwanzoni mlipopeleka bakuli?


- Kama ninakuelewa vizuri sana, ni kwamba Chief Mkwawa na Mwalimu walikosea sana kushindana na wakoloni, labda nimuombe Mungu atuepushe na mawazo yako hatari sana ya kulilia mkoloni arudi!

William.
 
W. J Malecela, there are two things. There is "what is said" and "who said it" (i.e. the speaker). If "what is said" can stand on its own merit then you need to consider "what is said" regardless of the speaker. The statement, "Murdering is bad", is true even if it was uttered by Satan himself. In my opinion what was said by Ms. Rockerfeller is true and stands on its own merit. "Who she is" has no bearing on whether "what she said" is true or not! Furthermore, all human beings are entitled to have an opinion about any subject and they should be able to express that opinion freely.

Haka ka point kako ka "...ajali mambo ya uongozi wa taifa lake..." kana maana gani? Are you trying to say that it is impossible for her to have an opinion about CCM and the election in Harlem at the same time? Naomba ufafanuzi. Akikujibu kuwa she was also against the election of the so called corrupt leader in Harlem utajibu nini? You need to seriously examine cerezo's advice to you. I recommend you read books about ancient Greek philosophers.

- Yuo make a lot of sense as opposed na wengine wanaoropoka ropoka, saafi sana bro!

William.
 
Haujacheka lolote, ukweli ni kwamba kama hautaki wazungu, rudi kwenu Tanzania. Hacha kung'ang'ania nchi yao!

Waluachie uongozi gani, wakati kila siku Tanzania (Kikwete) anaongoza wenye njaa kuja kuomba hela? Kwa hiyo wao wanufaishe famili ya makamba, Malecela na Kikwete wakati wanadnganywa kwamba hela ni kwa ajili ya maendeleo ya watanzania wote?

Hata mimi nitasema ninapotoa hela na zisitumike vinavyostahili. Kwa hiyo William mimi nashuku sana, your mental stability, seriously. You have some issues and needs to see psychiatrist

- Mkuu wewe umenichekssha zaidi ha! ha! ha! ha! maana sijawahi kusikia mtu mwenye akili tumamu kama wewe akamjibu mtu kama mimi mwenye matatizo ya akili ha! ha! ha! ha! wenye akili sana hawatakuelewa ha! ha! ha! have a nice day bro!


William.
 
Malechela Malechela unasema Lisa atuachie ya watanzania kwasabu unawapenda watanzania au kwasabu comments zake zinatishia kitumbua cha familia yako?
Watu walioshindwa kutawala au uongozi husingizia ukoloni huku wanatembeza mabakuli kwa haohao wanaotaka tuamini ni wabaya. Wanafiki kwelikweli.

Alichokiongea Lisa tunakiongea hata watanzania hapa hvo coni cha ajabu. Anyway what Lisa dozn know is that this a a continent of dead brains n morals.

- Mkuu samahani sana siwezi kujishusha kiasi hiki cha kukubali kuitwa na mzungu dead brains and no moral hapana bro, I am proud African and proud to be Tanzanian!

William.
 
Mr. Malecela, after reading your comments in their entirety I'm left dumbfounded! You don't make sense at all. Jesus Christ man! Are you really serious? I'm curious to know about your level of education and where you were educated. I'm concerned here because kama wewe ni akina Malecela and with the way things are going on in Tanzania with wazee wa CCM kurithisha watoto wao si ajabu ukaja kutuongoza. Hilo litakuwa ni janga kwetu kama upeo wako wa kufikiri ndio huo. Ninaomba ujibu my earlier post hapo juu. I'm interested in your opinion about my "what is said" vs "who said it" argument. Ahsante

- Mkuu pole sana again sijawahi kusikia mtu mwenye akili sana kama wewe na mwenye elimu kubwa sana kama wewe akihangaika sana kumjibu mtu mwenye akili na elimu ndogo sana kama mimi ha! ha! ha! ha! it does not make a sense hata kidogo, labda in the future utafute mijadala ya wenye akili na elimu kubwa sana kama yako ha! ha! ha na hii imenichekesha sana ha! ha!.

William.
 
- Mkuu pole sana again sijawahi kusikia mtu mwenye akili sana kama wewe na mwenye elimu kubwa sana kama wewe akihangaika sana kumjibu mtu mwenye akili na elimu ndogo sana kama mimi ha! ha! ha! ha! it does not make a sense hata kidogo, labda in the future utafute mijadala ya wenye akili na elimu kubwa sana kama yako ha! ha! ha na hii imenichekesha sana ha! ha!.

William.

Bwana William naona my emotions got the best of me. I'm human after all. Kwa hilo itabidi unisamehe. Tuachane na kejeli. Mimi issue yangu ni kwamba you rarely see people engaged in an honest discussion. In the end nobody concedes even when confronted with overwhelming evidence. Inakuwa ni kupoteza muda tu. Nashindwa kuelewa kwa nini hatuelewi kwamba we could be wrong about certain issues? Hatuwezi kuwa right all the time. Ni Yesu tu ambaye tunaamini alikuwa perfect. Newton mwenyewe na calculus zake was approximately right only when dealing with speeds way less than the speed of light, vinginevyo kachemsha. Kukosea ni kitu cha kawaida kabisa kwa binadamu. Tatizo ni kwamba tunatabia ya kudharau na kukejeli pale mtu anapokosea. Matokeo yake ni kwamba mtu hakubali kukosea ili kuepuka aibu.
 
Mtu umeoa bado unakaa kwenye nyumba ya baba yako, baba yako ndiye anayekununulia chakula, nakukupa posho, anakununulia wewe, mkeo na watoto wako nguo, anawasomesha watoto wako, anakulipia umeme na maji na akiugua yeyote katika familia yako, yeye ndiye anayelipa. Wewe na mkeo hamfanyi kazi bali mnajisifia kuwa mzee wenu tajiri. Hivi siku baba akikuambia kuwa uache kulewa ovyo, usiwachape bila sababu watoto wako na usimpige mkeo utatanua kifua na kumwambia kuwa asikuiingilie katika himaya yako? Himaya gani hiyo!

Sisi tunapitisha kibakuli hata kuomba vyandarua, madawati, kuchimbiwa vyoo na visima n.k. Sisi tunapigiwa muziki ili hao mnaowaita wakoloni watusamehe madeni ambayo kweli tulikopa na tumeshindwa kurudisha ( ati.. we will pay them!)! Leo, miaka 50 baada ya uhuru, sehemu kubwa ya bajeti yetu wanaibeba hao tunaowaita wakoloni! Sasa hizo responsibility mnazojivunia ziko wapi? Mtu ambae ni responsible hata siku moja hataki kuwa tegemezi maana anajua athari zake. Utasemaje unapoenda kuomba misaada ( na sio mikopo) ati si kwa sababu mnataka kuwa watumwa! Mngejua hivyo basi mngehakikisha mnajitegemea na mnaweka mazingira ambayo wenyewe watawabembeleza kuwekeza. Hapo watawaheshimu. Hakuna mtu anayemheshimu mtembeza kibakuli! Tukubali makosa yetu na tujifunze kutokana nao. Tusipofanya hivyo tutabaki watu wakuonewa huruma na kudharauliwa.

Amandla.....

Fundiiiiii

You missed the point Mkuu..............anyway majibu yako yanafurahisha kusoma kama zile "hadithi" za rafiki yangu Mohamed Said..................story ya mtu mzima kuishi nyumbani kwa wazazi wake ni out of context na moral wa hii saga hapa............

1. kama hukubali kuwa sisi ni Taifa huru.............then mjadala huu hautakuwa na mwisho.............

2. Ni nani alikuambia hiyo misaada hatutalipa?..........hakuna free lunch Mkuu..........hiyo ni mikopo na tutailipa na mengine tunailipa hivi sasa ................msidanganye watu kuwa hiyo misaada ni free...............

3.Sikatai kuwa sisi ni maskini kutokana na mapungufu yetu sisi wenyewe tangia uhuru........call it 50/100 years.........however kama Mtanzania siwezi kuuza uhuru wangu eti kwa kuwa umenisaidia............ebo.............nilikuwa Haiti baada ya tetemeko kutokea........mtoaji msaada mkuu alikuwa ni US............lakini ulizia kilichowakuta wale wamissionari waliotaka ku-take advantage ya maafa kuchukua watoto/vijana wa Ki-Haiti.............nafikir unaelewa kilichowakuta..............hata kama Haiti ni maskini lakini wana taratibu zao na mambo yao kama Taifa na lazima zi/yafuatwe................

4.kuwa responsible is one thing na kuwa tegemezi ni another..........."ONLY DEAD FISH GOES WITH THE FLOW".....we ain't dead my brother...we may be close......but............huo ni mjadala wa aina yake...........give it a thread tutakutana huko................

hakuna mahala nimejivunia responsibility ya Taiifa langu.................tuko hapa Mkuu siku zote....tunamkoma nyani giladi.......lakini hili la mzungu kutuingilia/kutusemea mambo yetu ya ndani nasema BIG NO...................watuachie wananchi wenyewe, mimi wewe na yule tuwashughulikie viongozi wabovu...........na tuwaondoe madarakani kwa taratibu zetu tulizojiwekea.................

...........wote hapa tunajadiliana kila kukicha hapa JF.........lakini ndio hivyo 61% imeamua mkwere atuongoze..............sipendi lakini ndio demokrasia (notwithstanding UCHAKACHUAJI).....................ni jukumu letu Watanzania kuhakikisha tunaodokana na U-Matonya...............lakini ukisubiri sijui mtoto wa tajiri gani kutoka US ndio atusemee.............no wonder wananchi kule vijijini wanatuona sie wauza (mabwege mtozeni) nchi na mapandikizi ya Wakoloni...............hence 61%.................

hakuna anayetuonea huruma Mkuu....HAKUNA........hao mnaowaabudu WANATUDHARAU period..............HAKUNA huruma............

tuna uwezo wa kuwashughulikia viongozi wetu wabovu wenyewe...................tusipowatoa...........ni sisi wenyewe....tumetaka
 
Hivi tumeshindwa wenyewe kukosoa viongozi wetu mpaka aje mzungu atusaidie?!

Huyu mzungu(Kama kweli ni mzungu maana kiingereza chake kina mushkel kidogo) angetumia influence yake kwao huko kuhakikisha JK akifika anabanwa kisawasawa kuhusu misaada au mikopo anayo pewa sio kupayuka kutukana kiongozi wa nchi nyengine ( ambayo ni sawa na katutukana sisi raia)

Hatuhitaji msaidizi wa kigeni kutuchagulia viongozi, sisi wenyewe kazi haijatushinda bado
 
Hey guys, I cant agree more with what Lisa said about JK and TZ leadership in general. This is what Dr Slaa has been saying all along. JK is in any language the worst President ever. He has been seen to betbusimness of continually impoverishing Tanzania. Now he has been given (has taken from the people) another chance undeservedly; What should we expect? the worst is just arround the corner!
 
I strongly doubt that Lisa M Rockefeller is directly affiliated with the Rockefeller family. The Rockefeller's have more important things to do than to debate CCM's past, present, and future failures via Facebook.
 
I strongly doubt that Lisa M Rockefeller is directly affiliated with the Rockefeller family. The Rockefeller's have more important things to do than to debate CCM's past, present, and future failures via Facebook.

Halafu mjinga mjinga huyo ...........eti anasema ataiambia serikali yake imzuie mtanzania asiingie US...................i'm sorry this is STUPID mind kutoka kwa mtu ajiitaye sijui mtoto wa tajiri gani sijui........... yaani analeta personal issues alizozipata kwenye forums......eti ndio azitumie kuishawishi US isimruhusu Mtanzania asiingie..............halafu anamuita GAIDI........Yes i repeat....she/he is stupid and very low.........and YES leave us alone...........
 
This is shame and scandal....evidence is needed to clear this matters asap...
 
Your absolutely right...Lisa we are also tired about the scandal of this nation leaders. Haki ya nani the jungle is in the corner...
 
we malecela watever unavojiita ni pimbi...kwa sababu gan...?i nawakilisha...
1. unajua zahiri anachosema Lisa ni kweli mtupu.
2. unatambua taifa hili linawategemea watu kama akina lisa.
3. serekali yako imejizatiti vipi kutupa kibakuli mpaka umwambie lisa awaachie nchi yenu...
5. kashfa alizotoa Lisa zinakugusa wewe binafis kwa % 100 ndo maana unakua mkali je wewe ndo mtanzania mwenyewe uliye chukia kutukanwa na lisa..?
6. mbona jakaya mwenyewe hajakanusha hizi habari na niza muda tuu..
Ushauri...Jaribu ku restart au refresh brain yako kabla ya kukoment.
 
- Hao wazungu wangetuachia mambo yetu ya ndani tutayaamua wenyewe, wao wazungu mabaya waliyotufanyia Africa sio madogo eti, huyu mdada anasahau kwamba ni wizi wa familia yake kwa taifa lake ndio uliopelekea kuanzishwa kwa sheria ya Standard Act, ili kuzuia monopoly za wizi wa familia yake kwa wananchi wa US, sasa kama yeye ni mkweli angeanza kuwarudishia serikali ya US na wananchi wake hela walizoiba huko mpaka kuanzishiwa sheria.

- Africa bwana tunakuaga so desparate na ushindi wa uongozi kwamba hata huwa hatuulizi maswali magumu, halafu baadaye ndio tutakuja kuanza kutafutana uchawi, huyu dada hana moral authority yoyote ya kutufundisha wa-Tanzania kuhusu uzuri na ubaya wa viongozi wetu, kwa sababu tunayajua vizuri matatizo yetu, yeye na familia yake warudishe zile hela zote walizowabia wananchi wenzao huko US through biashara zao za mafuta na ngano!

Ahsanteni.

William.

William
Ni kweli kabisa hawa wazungu watuachie, kwani baadhi ya matatizo tuliyonayo hayamkini pana mkono wao.
sasa kama ulivyoeleza kina Rockfeller, walisababisha sheria ikatungwa hapa Marekani, na nina imani kwa sehemu ilipunguza makali ya wazungu wajanja.Kwetu Tanzania ni halali mambo yanapofumbiwa macho?
Je kwa hali ya wenzetu walivyo makini watu kama kina Chenge, kina Mramba n.k ambao kesi zao bado hazijahukumiwa kukajua kuwa ni wasafi au ni wachafu wangekubaliwa na vyama vyao kugombea?. Kama tutakuwa watu makini na wakweli wa kumshauri Rais Kikwete tungedhubutu kumshauri ajihusishe nao kabla hawajawa safi mbele ya umma? Mimi naona moja ya mambo yanayompaka hadi kufikia kukashifiwa namna hiyo ni hayo, kwake yanaweza yasionekane kuwa ni kitu
lakini kwa busara za kawaida isingekuwa vyema hivyo yeye binafsi anaweza akawa anajishushia heshima mwenyewe jambo ambalo lina dhibitisha na mwanguko wa ghafula alioupata kwenye uchaguzi uliopita.

Sasa basi kama ni washauri wema tukwepe kufunika moto kwa karatasi tuseme ukweli japokuwa ukweli unauma, palipo na tatizo tupasue jipu. Hilo si kwa faida yetu tu bali hata vizazi vyetu vinavyokuja. S
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom