Uchaguzi 2020 Lissu aanza kutumia Chopa. Kutikisa Bagamoyo, Kibaha na Chalinze leo

Usimfokee hivyo mwenzio!
 
Sasa HIVI watu wana pesa kuliko zamani ulitaka bei zibaki hivyo hivyo?
Dah kwa akili hizi unawezaje kuishi hadi umri huu hujagongwa hata na toroli ujifie?

Sasa mataifa tajiri bidhaa za bei si zingekuwa za kutisha sana, kwa akili yako hiyo unadhani tungeweza kuimport bidhaa toka nje kweli?
 
Nd
CCM mbona mnanadi mgombea wenu kwa gharama kubwa sana? Kila nguzo ya umeme mijini ina bango lake wakati miaka yote mitano alikuwa akifanyia kazi zake kwenye runinga.
NdO matumizi ya pesa kwani shida iko wapi?
Nyie pesa zenu mnatumia mahakamani na ubeligiji.
 
Wengi hawamjui watakuja kushangaa helicopter yeye kule anahutubia watu waniangalia helikopta
Meko anayejulikana mbona kajaza wasanii, hujamshauri kuwa watu wanakuja kuangalia tu wasanii?
 
Nimekusikia lakini kurayangu bado Hewani hatayeye lisu zijamsikia akisema chochote kwenye huu ubabe tuliofanyiwa wavuvi anaturudishaje kimaisha
Usiwe mvivu wa kufuatilia hotuba za Lissu. Amesema serikali yake itatibu majeraha yote yaliyosababishwa na serikali ya awamu ya tano kwa kuwalipa fidia waathirika wote.

Wafanyakazi waliofukuzwa kazi kwa madai ya vyeti feki, waliovunjiwa nyumba zao bila fidia, wakulima walioporwa mazao yao, kama korosho kule Mtwara, Wafugaji walionyang'anywa mifugo yao, na wavuvi walioporwa vifaa vyao vya uvuvi wote watapata fidia.

Fuatilia hotuba zake utasikia mengi mazuri.
 
Mtaendelea kuomba michango kwa wananchi?

Nadhani jibu lake ni ndio. Nami nasema waendelee kutukumbusha ile namba ya kuchangia ili visenti vyetu vidogo vidogo ndio vitukomboe.

Nimejaribu kuangalia hesabu kumbe hata wenye kipato cha chini wanaweza kujiendeshea mambo yao bila kuwainamia wenye nacho.

Mfano; Wapenzi na wapenda mabadiliko milioni 1 tuu nchi hii wa uwezo mdogo kila mmoja akijipinda kwenye simu yake na kutuma 2,000/ tuu basi hizo ni bilioni mbili kamili.

Pesa hizo sio nyingi sana lakini sio haba katika kuendesha kampeni kama za Chadema zisizo za kifahari na kifisadi kama za CCM.

Please Molemo undeni kikundi cha kuhamasisha uchangiaji wa mitandaoni ili kuwapa nafasi kila mtanzania kujisikia ameshiriki katika mabadiliko haya yatakayotokea ili awe sehemu ya hiyo fahari
 
Malemo, kama upo karibu na chadema washauri Mbowe, Na mgombea mwenza nao wafanye kampeni tofauti. Angalieni ccm walivyosambaa. Kumbukeni mnashindana kufikisha ujumbe ili mkubalike. Wote watatu wasikae kwenye mkutano mmoja.
Other wise hii ni taarifa nzuri kusikia wanapiga kampeni tatu kwa siku. Wakisambaa hizo zingekuwa kampeni tisa kwa siku.

Sent from my SM-G935W8 using JamiiForums mobile app
 
Ameshapata mchango kumbe
Mkuu, Lissu ana pesa ya kutosha hata bila michango, tatizo tunafanyiwa kiini macho!
Lissu anaamini na anajua, kwa tume tuliyonayo, katiba tuliyonayo, hatotangazwa mshindi! Sasa inabidi kuwachangisha wananchi kupunguza maumivu ya gharama yote ya kampeni, pia kuepusha deni kuwa kubwa zaidi kwa wafadhili!
 
Nitajitahidi kusikiliza sasa hapa ndio tutaona tunataka maendeleo au shuka yakijani ambayo haisomemeshi hata mtoto wangu mmoja naomba wanielewe mm ni ccm lakini lisu kajakuwa tumaini jipya kwangu
 
Matumizi Mabaya ya pesa. KUTOKA DAR HADI KIBAHA KWA GARI NI MWENDO WA DAKIKA 40 MTU ANATUMIA HELKOPTA USHAMBA.
Piga magoti na muulize Mungu wako, jee baba Muumba hivi Mimi uliniumba kichwani na ubongo au kitu gani? Mbona Niko tofauti na binadamu wengine? Au mie ngedere kwenye umbo la mtu?
Atakujibu maana anajibu maombi
 
Safi, Stratergy iwe ni kwenye miji midogo midogo, na vitongoji vyake huko ndo kuna kura.
Magufuli anatumia usafiri wa barabara hivyo basi anafanikiwa kuongea na watu wengi njiani
Mtatumia mpaka maparachuti lakini hamtatoboa.
 
Ninaye mhurumia mie ni mama Jeska maana kwa kushindwa kwake hilo gubu atakalo kumbana nalo toka kwa jamaa sio la ulimwengu huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…